Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Umenote vizuri mkuu. Ukishakuwa na mind ya kimaskini hata vitu unavyowaza utakuwa unawaza kushindwa tu muda wote. Ndio mind ya mchiziMwanzisha thread nadhani amezaliwa kwenye ufukara wa akili na mali na bado operate kwenye ufukara wa akili na mali. (no offense). Hana clue kabisa na maisha mengine...
Umenote vizuri mkuu. Ukishakuwa na mind ya kimaskini hata vitu unavyowaza utakuwa unawaza kushindwa tu muda wote. Ndio mind ya mchizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu anamuambia kuna bugatti veryon ya 2018 naitamani sana,Upo na mtoto mzuri kama Jack utaishiwaje pesa sasa, unaamka asubuhi anakupa mΓ€mbo, kisha unajiandaa kuondoka anakuaga kwa kisses &hug wee mood ya kusaka pesa inaendelea kuwepo tu
DΔ· Mengi namkubali sana
Wewe una mfanyakazi hata mmoja,tuanzie hapo..Siyo misaada ni kafara zile inakuwaje wafanyakazi wako wanaokutafutia pesa unawalipa kiimo cha mbuzi halafu unaenda gawa kwa wengine si uwape hata bonus watumishi wako!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoa ni moyo sio utajiri.Hello guys,
Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?
Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Nasoma sana majarida ya forbes, bussiness insider. Yes nafahamu hayo. Najua mhe.Reg Mengi anayafahamu hayooo.. ndio maana kajizatiti.Hivi hujawahi kusoma habari za USD millionaires na USD billionaires wanavofilisika sababu ya upepo mbaya wa kiuchumi, matumizi makubwa etc Detective J
Wewe sasa ndio umemaliza,kule kutoa ndio sehemu kuu ya kufanya hela ziendelee kuwapo.Baadhi ya masharti ya kuendelea kuwa nazo hizo pesa zake ni pamoja na kuwapa maskini na wahitaji.
Mmh unavosema masharti unamaanisha nn, masharti aliyopewa na waganga au mangatara
NICOL NICOL NICOL.Hello guys,
Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?
Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duhHaya maisha bhana,unaweza kuta na yeye huko alipo anajiuliza mbona okoyoko kila siku ni masikini? Yaani tokea mwaka 1992 jamaa hatoi msaada wala nini lakini kila siku yeye huwa analia njaa tu ?
Natamani ningekuwa mjinga kama wewe..Masharti aliyopewa na aliyempa hizo pesa akae nazo kwa muda. Si wajua kuna kufa na ukifa huchukui hata senti moja?? Hivyo, aliyempa akae nazo siku zake za kuishi hapa alimwambia awape masikini.
Mkono utoao..............Hello guys,