Hayo Masharti anayo Mungu Peke yake
Kwani Mie nimesemaje MkuuSio kweli bali hayo ndo masharti aliyo toa Mungu kwa waja wake wanaotaka wasiishiwe. Wapeni watu vitu, kipimo kile kile mlicho pima ndicho mtakacho pimiwa, na kusukwasukwa na kushindiliwa.
Hilo ndio sharti alilolitoa Mungu.
Kumbe kusaidia kwake maskini unahisi ndio atafilisika?? ama kweli waliosema una umaskini wa fikra na roho hawajakosea.Hivi hujawahi kusoma habari za USD millionaires na USD billionaires wanavofilisika sababu ya upepo mbaya wa kiuchumi, matumizi makubwa etc Detective J
Kumbe kusaidia kwake maskini unahisi ndio atafilisika?? ama kweli waliosema una umaskini wa fikra na roho hawajakosea.
hahahaahahaa kweli wew akiki matopeAnawaminya wafanyakazi wake kwa kuwalipa kiduchu ili atoe hiyo tunayoiita misaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa eti Uyu blaza muongohuyu bwana ni muongo sana,usidhani hizo ahadi zote huwa ana Ty oaga pesa ni uongo mtupu
Aisee GT MS agizia chochote hapo ntalipaHaya maisha bhana,unaweza kuta na yeye huko alipo anajiuliza mbona okoyoko kila siku ni masikini? Yaani tokea mwaka 1992 jamaa hatoi msaada wala nini lakini kila siku yeye huwa analia njaa tu ?
ahhha hhah tayari mkuu nimeagiza,wape hi huko copenAisee GT MS agizia chochote hapo ntalipa
Anatumia portion ndogo ya zile anazozalisha..Hello guys,
Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?
Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Kwako ni msaada ila kweke ni Sadaka, huwezi kufilisika unapotoa kwa ajili ya BWANA.Hello guys,
Ameanza kutoa misaada ya mamilioni ya shillingi kila mwaka tangu miaka ya 1992 mpaka leo, na bado yuko vizuri kipesa, sasa najiuliza kwamfano kwa bahati mbaya siku imetokea amefilisika si itakuwa aibu sana kwake?
Hata kama kampuni zake zinaingiza mabilioni kwa mwaka, ujasiri anao aisee, kuonesha watu kuwa yeye ni tajiri, hlf kwa hizi biashara there is a risk na hofu ya kuja kufilisika baadae, its a nightmare.
Hello guys,

Unataka aishiwe pesa ili iweje?Hello guys,