Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Nakumbuka kuna siku Mkapa alipata ajali, alikuwa anatoka kwa Rita Mlaki akaanguka kwenye mtaro na Benz lake. Akampigia Mlinzi wake ndo akaenda kumtoa.. Alikuwa mwenyewe akijiendesha. Alipata ajali Mikocheni karibu na daraja la JKT pale Mlalakuwa. Tena alikuwa Rais anatoka zake Mbezi ya Chini kwa Lita.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imagine hiyo ajali ingemuumiza beyond repair sijui vyombo husika vingeandika nini!!
 
Ila sikati tamaa, ngoja nitafute kijora cha kijani nianze kupita pita korido za Lumumba.....ntaweletea mrejesho nikiwa kwenye viete🀣🀣🀣
Ulivyo mapepe sana kama kama nakuona kwenye corridor za Lumumba na hicho kijora,dakika 30 nyingi ushakula kichwa,tena usindikizwe na wifi Yako Lamomy yeye avae kijora Cha njano
 
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…