Kuna taasisi fulani ya serikali Morogoro imepiga marufuku pkpk kuingia kwenye compound yake kisa Katibu Mkuu wake alichukizwa na honi ya pikipikiWanawake hata mkipewa madaraka, huwa mnataka kila mtu akuheshimu kwa Lazima
🤣🤣🤣🤣🤣 Hatari na nusu, nimechoka kuukalia uchumi Mie.....we subiri mrejesho.Ulivyo mapepe sana kama kama nakuona kwenye corridor za Lumumba na hicho kijora,dakika 30 nyingi ushakula kichwa,tena usindikizwe na wifi Yako Lamomy yeye avae kijora Cha njano
Mzee BM alikuwa na matukio mengi sana, Kibaha, Masaki kote slikuwa na michuchu na alikuwa anaendesha gari mwenyewe.Wasingekosa kitu cha kusema, raia wengi wa hii Nchi tumekuwa rahisi sana kuwa-brainwashed
Yaani Viongozi hata hawapati Shida kututawala maana rates ya Ujinga nadhani imefikia asilimia 68 kwa 32 kwa waliosoma
[emoji3][emoji3][emoji119].... Ana balaa lakeAshanishushua huko[emoji1787][emoji23]
Kumbe ni Bibi[emoji3][emoji3][emoji119]Tayari kashampa jibu lake kwenye Post #57
Huyu Bibi FaizaFoxy sijui alivyokuwa Kigori kama Wanaume walithubutu Kumtongoza.
Labda utumie Mbinu zetu Sisi Wazee wa Zamani kuwa na dawa mdomoni wakati ukimsalimia [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
Huyo Katibu alikuwa Mjamzito nini?Kuna taasisi fulani ya serikali Morogoro imepiga marufuku pkpk kuingia kwenye compound yake kisa Katibu Mkuu wake alichukizwa na honi ya pikipiki
Haiwezi,manake wanaopewa madaraka makubwa wanawake ni vichomi,vyeti ungaunga na brainless,sababu ya vy.uupiAbsolutely ila huenda hii 50/50 ikaenda kupunguza gap
Mkuu Weath na Power Vinaweza kutu classify binadamu lakini kuna mahitaji mengi tuna meet kwenye Ground Moja haswa sisi Men tuna Sehemu lazima tukutane tu kwa groundKweli Asili kwa sisi Wanaume haiangalii Wadhifa ama Kipato.
Ndiyo Maana Mfalme Daudi kwenye agano la Kale aliweza hata kumsababishia Kifo Mkuu wake wa Ulinzi ili amchukue Mke wake
Kiongozi una risk kutoroka Ikulu kwa kuendesha Mwenyewe hadi huko Kawe kisa kumfata Mchepuko.
Kwani angeamua kumtuma Mlinzi akamfate na kumficha sehemu kungekuwa na Shida.
😂🤣Itakuwa mimba ya bodaboda hiyoKuna taasisi fulani ya serikali Morogoro imepiga marufuku pkpk kuingia kwenye compound yake kisa Katibu Mkuu wake alichukizwa na honi ya pikipiki
Namjua sana🤣🤣🤣 Atanigombanisha bure na Kaka angu.Na ni mbea sana,yaani saa ya kulala anaanza umbea,anamsimulia mmewe kila kitu...
Huyo mama Che ni mshamba tu kama alimind kuwekwa ofisini for 10 minutes, Kuna watu ni Humble sana akiwemo Mzee Pinda very decentPole sana, wakati mwingine ukali huwa ni hulka ya mtu binafsi.
Hata kama una cheo/wadhifa Mkubwa lakini haikuondolei kufuata utaratibu.
Kuna kazi moja ilihusisha kukutana na Mzee Pinda wakati fulani, though ilikuwa baada ya kustaafu.
Lakini Mzee wa watu alikuwa peace [emoji3577] tu wakati anasubiri nimuhudumie.
Na alikuwa anapenda ucheshi kidogo, japo Walinzi wake walikuwa kama hawapendi Mzee aendelee kukaa muda mrefu pale.
Halafu Leo ijumaa,ataenda kuswali kweli?[emoji3][emoji3][emoji119].... Ana balaa lake
Hawa mabinti wa siku hizi Hawa,kwa hiyo unamuita Bibi shostFaiza foxy upo?Rafiki yangu?
Nimekumiss shost
Ulijua kaanza nayo Mbowe tu kwa Joyce Mukya?Kumbe haya mambo ya kuhonga vyeo yalianza kitambo🤣
Labda, ila imeshangaza wengi kwasababu wizara yake ina wajibu wa kuwaelimisha maelfu ya watanzania, inashangaza sijui alishindwaje kumuelimisha huyo mmoja kama honi haikupulizwa ipasavyoHuyo Katibu alikuwa Mjamzito nini?
Maana mimba huwatesa Wanawake wengi sana.
Unaweza kuta hiyo mimba wakati inaingia alibebwa na Pikipiki kumpeleka eneo la Machinjio 🤗🏃🏃🏃
Inaonekana suala la Sisi Wanaume kuridhika na Mwanamke mmoja limekuwa changamoto sana.Mzee BM alikuwa na matukio mengi sana, Kibaha, Masaki kote slikuwa na michuchu na alikuwa anaendesha gari mwenyewe.
Kwa Masaki...kuna ka kimada kaliiuwa jirani na nilikoanzia kazi yangu ya kwanza...mzee alikuwa hakauki
Huyo Mzee Mlaki peponi moja Kwa moja, yeye na Yule aliyekuwa balozi wetu China waingie peponi bila hesabu....na wanawake wote tuitikie Amin.Kuna baadhi ya Taarifa zako hazipo sawa. Mfano Rita kuachana na Mlaki. Hawakuwahi kuachana ila walikuwa wametengana kwa muda.
Mzee Mlaki alinifundisha kitu kimoja, baada ya kumuuliza unajisikiaje na uvumi wa Ben kubanjuana na mama. Akasema, mdogo wangu, ukioa mchagga hayo ni mambo ya kawaida. Uzuri sasa hivi unaliona hiyo Land Cruiser VX ni la mama ila natembelea mimi. Kipi bora kung'ang'ania mke au kufaidi toka kwa mke. Huu ndiyo muongozo wangu siku zote
Wavuta Bangi tusameheweRITA kiboko hadi ile mamlaka ya kusajili vizazi na vifo imepewa jina lake inaitwa RITA🤣🤣
Ahh shost wangu huyoHawa mabinti wa siku hizi Hawa,kwa hiyo unamuita Bibi shost