Hivi Royal tour ina nini mpaka mtumie nguvu kuinadi namna hii?

Hivi Royal tour ina nini mpaka mtumie nguvu kuinadi namna hii?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii?

Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko?

Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli?
👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio

Mbona TTB walisema watalii kibao watakuja toka Israel bila hata hiyo Royal tour unayoipigia chapuo? Umesahau ulivyotudanganya?

Screenshot_20220516-023801.jpg

Na bado, mtazidi kufirimbwa, *****! Kila mnalozusha linabuma, mmebaki kutapatapa Tu!
Mtakuja na kila Aina ya kuponda, kila Aina ya tusi na kila Aina ya mashaka
 
Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii?

Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko?

Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli?
👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio

Mbona TTB walisema watalii kibao watakuja toka Israel bila hata hiyo Royal tour unayoipigia chapuo? Umesahau ulivyotudanganya?

View attachment 2226357

Hadi pale na Muuza Kangala atakavyo shawishiwa na royal tour nakufanya utaliii wa ndani🚶
 
Chenji ilibaki wanamalizia kwenye uzinduzi, watu wale wale wanaama mikoa na leo mwalikwa kesho mgeni rasmi!
 
Sukuma Gang kila siku mnatafuta jambo la kukosoa mmeambukizwa roho mbaya.
 
Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii?

Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko?

Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli?
👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio

Mbona TTB walisema watalii kibao watakuja toka Israel bila hata hiyo Royal tour unayoipigia chapuo? Umesahau ulivyotudanganya?

View attachment 2226357

Nimezaliwa nimekuta watalii wanajaa mlima Kilimanjaro, Ngorogoro, Serengeti, Manyara, Tarangire n.k bila hii royal tour yao
 
Inashangaza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numbeeser!
 
Kuna mtu alisema mbona cocacola kila mtu ana ijua ila bado ina matangazo?
kwa sababu kuna mpinzani wake Fanta na togwa africa? si unajua Coca co;a haijafikia utamu wa togwa ila matanfazo kibao tumeisagia african togwa yetu. 1970s kila nyumba uswahilini utakuta chupa za togwa nje kiambazani zinauzwa lakini matangazo ya coke yamefyagia togwa tanzania!
 
Back
Top Bottom