Hivi Royal tour ina nini mpaka mtumie nguvu kuinadi namna hii?

Hivi Royal tour ina nini mpaka mtumie nguvu kuinadi namna hii?

Bora huko na kuinadi ila pamoja na kuzinduliwa kote tanzania hakuna mtu anaejua kilichomo humo kwenye Royal yenyewe mpaka iuzwe uko nje weee ikishamaliza sisi tutaoneshwa miaka ijayo uko
 
Bora huko na kuinadi ila pamoja na kuzinduliwa kote tanzania hakuna mtu anaejua kilichomo humo kwenye Royal yenyewe mpaka iuzwe uko nje weee ikishamaliza sisi tutaoneshwa miaka ijayo uko
Nigeria,Ghana, Cameroon na Senegal wao wametumia pesa nyingi kuwekeza katika soka ili kuitangaza nchi yao.kucheza AFCON na world Cup kumezitangaza nchi zao mara sabini ya kuibua filamu kutangaza vivutio vyao.pia nchi hizo zimeuza wachezaji wengi ligi kuu za ulaya ambao katika mechi utasikia the senegelese au the nigeria boy scored twice!Bilion sabini zingeingia katika Taifa stars na kumleta mario zagalo alipwe miezi sita tuu kunoa vijana wa umri mdogo tuu ili wajue soka la kileo ungeona mabadiliko ya soka la taifa kuwa la kimataifa na ndipo tutaingia world cup na Afcon ili nasi tujulikane tumo duniani.
 
Back
Top Bottom