Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hadi pale na Muuza Kangala atakavyo shawishiwa na royal tour nakufanya utaliii wa ndani🚶Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii?
Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko?
Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli?
👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio
Mbona TTB walisema watalii kibao watakuja toka Israel bila hata hiyo Royal tour unayoipigia chapuo? Umesahau ulivyotudanganya?
View attachment 2226357
Siasa ni maisha na sio taarabu mpumbavu wewe.Na bado, mtazidi kufirimbwa, *****! Kila mnalozusha linabuma, mmebaki kutapatapa Tu!
Mtakuja na kila Aina ya kuponda, kila Aina ya tusi na kila Aina ya mashaka
Mjinga kama huyu hawezi kuelewa kituSiasa ni maisha na sio taarabu mpumbavu wewe.
Unayajua maisha wewe au ni mkaririshwaji tu nguruwe mkubwa we! Nenda katandike kitanda cha mumeo huko!Siasa ni maisha na sio taarabu mpumbavu wewe.
Nimezaliwa nimekuta watalii wanajaa mlima Kilimanjaro, Ngorogoro, Serengeti, Manyara, Tarangire n.k bila hii royal tour yaoHivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii?
Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko?
Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli?
👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio
Mbona TTB walisema watalii kibao watakuja toka Israel bila hata hiyo Royal tour unayoipigia chapuo? Umesahau ulivyotudanganya?
View attachment 2226357
Zaidi sahivi kila Mkoa na Wilaya wanazindua royal tourDamn movie ya kiboya😅 ina billion 7 nyuma yake.
Dada una hasiraaa!Siasa ni maisha na sio taarabu mpumbavu wewe.
Na dada wewe pia una hasiraaa!We mpumbavu acha kudandia mada za wanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inashangaza
Kuna mtu alisema mbona cocacola kila mtu ana ijua ila bado ina matangazo?Nimezaliwa nimekuta watalii wanajaa mlima Kilimanjaro, Ngorogoro, Serengeti, Manyara, Tarangire n.k bila hii royal tour yao
Hata usingeongea hayo yapo tu, anayo kwani ni sehemu ya viungo tu vya binadamu. Sawa dada'angu?!!!Makalio ya mama yako achana na wanaume
Watalipita swali hili kama hawalioni! Unafiki kitu kibaya sana!Kuna mtu alisema mbona cocacola kila mtu ana ijua ila bado ina matangazo?
kwa sababu kuna mpinzani wake Fanta na togwa africa? si unajua Coca co;a haijafikia utamu wa togwa ila matanfazo kibao tumeisagia african togwa yetu. 1970s kila nyumba uswahilini utakuta chupa za togwa nje kiambazani zinauzwa lakini matangazo ya coke yamefyagia togwa tanzania!Kuna mtu alisema mbona cocacola kila mtu ana ijua ila bado ina matangazo?