Hivi Russia anasubiri nini kuivamia Ukraine, Kwanini amebaki mpakani tu?

suala lakusema kwamba GERMAN wategemee tena kufungua nyuklia sio rahisi kama unavyodhania
nandio maana german wakabariki mradi wa nord stream two nabado wanaupambania huo mradi licha ya ghilba za US na UK
unachukulia suala lamazingira kikawaida sana nandio maana unaona German anaweza akafanya hvyo kirahisi kama unavyosem wewe ila nirahisi zaidi german kubakia na gesi ya RUSSIA kuliko kufungua hayo maviwanda MKUU nandio maana kama utakua umeufatilia sana huu mgogoro GERMAN kama hayupo saana na anapendelea sana mazungumzo kuliko vita maana anjua yeye atakua muhanga mkubwa zaidi kuliko wengine
hitimisho RUSSIA atauza gesi GERMAN na EU nzima cjui UK maaana ndio njia rahisi nasalama nanafuu kuliko nyengine hao US QATAR wasahu kupeleka gesi GERAM tena wasahu hasa kwakupitia baharini zitaripuliwa meli kama anavyozifanya IRAN
kuhusiana na DT na TALEBAN na BIDEN kwani alosema maji yaondoka AFGHANISTAN nani kama sio DT nadhani BIDEN kaja kutekeleza tu
View attachment 2110765
 
Iyo Energy anayo mrusi dunia nzima?kama akizidi kuzingu ni Faida kina Saudia.iraqa. sababu ya kutumia ni urahisi na gharama tu mkuu.Bado Urusi ana vingi vya kupoteza.
Ingekuwa rahisi hivyo, NATO wangekuwa wameshampoteza Putin kwenye ramani.
Mrusi akifunga Ile valve ya gas flow, Europe wanapata energy crisis, na watakufa kama kuku wenye mdondo!

Gesi sisi Bongo hatujui matumizi yake. Beberu anajua umuhimu wake!
Si ajabu hata huko Msumbiji Mrusii kaweka vikosi ili Tu Ku destabilise huo mradi WA gesi!

Mrusi yupo smart, wamejaribu kwenda Syria, kawavurugia wametoka kapa, Libya wakavuruga wakakutana na makundi ambayo hadi kesho, serikali haijulikani nani wa kufanya naye biashara!

Huyo mmarekani yeye anataka kuuza silaha na biashara ya mafuta Tu! Katengeneza tension. Ukraine na majirani wameongeza matumizi kwenye manunuzi ya silaha,
 
Uko sahihi kabisa Mkuu!
Yaani mambo siyo marahisi rahisi kama Bongo movie za nazi kudondokea chini ya muarobaini.
 
Kwenye hili mimi ni "tabular rasa" kabisa lakini nanachoweza kusema ni kuwa wewe utakuwa ni mmojawapo wa watu waliokuwa wanasababisha watoto wa shule ya msingi wanatoana ngeo mashuleni
Wewe unataka wapigane? yaani una hamu wapigane? Kitu ambacha watu wote dunia nzima wanaomba Mungu kisitokee, wewe ndiyo unatamani kitokee?
 
Subiri Ukrane itangaze rasmi kujiunga na NATO ndio utaona maamuzi ya Urusi...Urusi sio nchi ya propaganda na kubweka kama nchi za magharibi...

Urusi kaweka majeshi yake mpakani ndani ya Ardhi yake Marekani na vibaraka wake NATO wanalalama hatari...
Sasa russia iingie vitani ina pesa vita ni pesa sio bunduki
 
Russia hawezi ingia hiyo vita hana uchumi unaanza vita raia wanakupindua kwa ugumu wa maisha .. raia hawana uzalendo wakiwa hawana chakula na kama hawajavamiwa
 
Russia alikuwa anabip watu wamempigia na wamekataa mapendekezo ya Russia... Russia kabaki ana tilitili Tu oooh Mimi sijui NATO watu wazima wamemwambie kama vip vip tubwage Tu[emoji16][emoji16]
Palingi mtu bee
 
Kasema anaheshimu olimpiki kwanza,,,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]anampa msela wake china airtime kwanza wakimaliza mashindano yao na wao wanachukua airtime
China hawezi pigana vita yoyote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazungu watamtumia india kumchachafya mchina huku kuna korea na japan zinapinga vurugu za china. China yeye alichofanikiwa kuishika masikio afrika
 
Mbwembwe Tu, ENERGY, NISHATI Europe wanamtegemea Sana Mrusi,
Jamaa mrusi ana leverage kubwa!
Hakuna Vita! Kuna mieleka Tu ya kina John Cena na the Rock!
Mijitu mikubwa inapigana na huoni damu
Nani amekudanganya hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vita cha kwanza pesa bila pesa hiyo vita unapoteza tena kama umevamia nchi ya watu. Raia waliovamiwa wataacha tofauti zao kuungana na kukupiga tuu
 
UKRAINE kama akijiunga na NATO halaf RUSSIA asimpe kichapo naachana na kutumia JF inyeshe mvua liwake jua UKRAINE haruhusiwi kujiunga na NATO itaibuka hata vita yatatu ya dunia ila UKRAINE hataruhusiwa kujiunga na NATO hata kwa sekunde
Hukutotokea vita kuu ya 3 kitakachotokea ni mrussi kufundishwa adabu for once and for all .. itakuwa vita ya ulaya tuu maana wazungu hawana makoloni tena
 
China hawezi vamia taiwan hata iweje
 
Ulaya hawatumii gas kupika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kama gas itatoka algeria
 
Beat tu. Vita hamna. Ulaya wakipiga chafya africa tunapata mafua. Vita ikitokea tutakaoumia ni sisi. Gharama ote za uendeshaji tutalipa sisi...
 
China hawezi pigana vita yoyote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazungu watamtumia india kumchachafya mchina huku kuna korea na japan zinapinga vurugu za china. China yeye alichofanikiwa kuishika masikio afrika
Labda hukusikia mwaka jana ilizuka vita kati ya china na india. ,waliweka silaha pembeni zikapigwa ngumi si mchezo ,, siku tatu ngumi zinapigwa na wahindi walikufa kama utitiri,,,,
Mchina ana ari kubwa sana linapokuja suala la kutetea nchi yao,, uliza wajapan[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…