Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Em kwanza mbona mnataka kuweka maisha ni magumu sana, kucomplicate maisha kwa kiwango cha sgr..Saa ingine shida sio umaskini, naweza kuwa hata na tsh million 500 isio na kazi, na utayari wa kusaidia, ila mdada akiniomba Elf 1 ya vocha na nimemtongoza jana, naweza kumnyima
Kwa wadada wa sahivi, ukiwa na attitude ulio nayo wewe, utatumika sana, we unaona unasaidia, mwenzio anakuona boya Vishu Mtata
Haha acha simps waendelee kuwepo ili madem wapendeze kitaa halafu wajuba tuwagonge bure.Just imagine
Wakati wewe unahonga ili akupende au upewe mbususu na anakupiga chenga
Kuna kidume mwingine anazagamua bure plus anapewa hizo hela unazotoa wewe
Wanaume mnaotoa hela ili mpendwe acheni "Simping"
Ndio dawa ya hawa mabinti wa sahivi, yani ungekuwa mwanaume ungenielewa, unaombwa hela hlf mtu ghetto haji, unajiuliza huyu anaeniomba hela hana nyege au.Dah.. Sikumbuki lini nimeambiwa njoo ghetto. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimecheka sana
Ningekuwa mwanaume ningekuwa natoa pesa kwa mwanamke ninae mpenda bila kuombwa.Ndio dawa ya hawa mabinti wa sahivi, yani ungekuwa mwanaume ungenielewa, unaombwa hela hlf mtu ghetto haji, unajiuliza huyu anaeniomba hela hana nyege au.
Saa ingine kidume unajiuliza, Hata kama mdada kaniona nina sura mbaya, je mm ni mbaya kihivyo, kiasi cha kwamba hata kunipa papuchi yake nimle mara moja tu hawezi, mbona mwonekano wangu uko decent..maana sie wanaume wengi mpaka umkatae mwanamke anaetutaka kimapenzi, labda huyo mwanamke awe mbaya kupitiliza, nashangaa baadhi ya wanawake wanakataa wanaume ambao kimuonekano ni good looking.. Demi
Sio rahisi kihivo, pesa ungetoa na binti ghetto haji, na la kumfanya huna..au ukitoa hela kesho unaombwa tena, ukitoa kesho kutwa unaombwa tena, siku ukisema huna mahusiano yanakufa..una-chat naye conversation yake yooote atakuwa anakuambia matatizo yake ya kipesa tu DemiNingekuwa mwanaume ningekuwa natoa pesa kwa mwanamke ninae mpenda bila kuombwa.
Ghetto atakuja mwenyewe bila kulazimishwa.
piemu yangu ni yako, jiskie uko nyumbani DemiNyie watu naombeni hela
Ukiona mwanamke anakuomba sana pesa ujue hakupendi. Nia yake ni kufanya uachane nae.Sio rahisi kihivo, pesa ungetoa na binti ghetto haji, na la kumfanya huna..au ukitoa hela kesho unaombwa tena, ukitoa kesho kutwa unaombwa tena, siku ukisema huna mahusiano yanakufa..una-chat naye conversation yake yooote atakuwa anakuambia matatizo yake ya kipesa tu Demi
usilolijua ni sawa na usiku wa giza, test mitambo uone mama 😂Huna pesa yoyote we dogo usinichekeshe.
kabisa bro, ili apewe hela, lazima afaulu intavyuu😂Wanaume tushalijua hilo, ndo maana sahivi baadhi yetu tukiombwa hata buku, na mzigo hatujawahi kula, pesa hatutoi Demi