AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Mimi ni mwananchi mshamba tu ni juzi juzi tu hapa ndio nimetoka shamba.
Gharama ni kubwa sana na nguvu ni kubwa sana SERIKALI INATUMIA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA NA KUPIGA KURA.
Serikali inazirudishaje hizi gharama baada ya juhudi hizi? Kuna faida kiasi gani serikali inanufaika na hii kampeni?
Nielewesheni tafadhali.