Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kama haiwezekani kupinga maamuzi ya Tume katika chombo chochote kile zikiwemo hata mahakama zetu,basi sheria inayotoa mwanya huu bila shaka itakuwa ni "bad law" na inayokiuka katiba ya nchi yetu inayotambua mhimili wa mahakama kama chombo pekee chenye mamlaka ya kutafsri sheria/kutoa haki.Huyo Kaijage tunamuonya kwamba mipango yoyote miovu anayopanga kwa kuelekezwa asije akamlilia mtu
Hivo vibangi unavyovuta havitakusaidia chochioteNafikiri mgonjwa wa ubelgiji arudishwe hospitalini na kupokea utimamu wa akili kwanza na Kisha alazwe milembe mpaka baada ya miezi sita ndio achekiwe tana Kama anaweza ruhusiwa kutoka wodini[emoji1787][emoji23][emoji1787]! Maana siyo kwa uchizi huu I see!
Nakuhakikishi kwamba huu waweza kuwa ndio mwisho wa Tanzania kuwepo dunianiMkuu kwani we n mgeni hapa tz hadi uulize swali kama hilo, anyway ngoja nikujibu,,,Inategemeana na mgombea ataeenguliwa atakuwa ni wa chama gani,,,,ila kama ikitokea ni Lissu au Maalim Seif ndo wameenguliwa, basi ata wakienda mahakami haiwezi saidia chochote,
NB: Muhimu tuombe Mungu jambo la aina hiyo lisitokee
Ndio mkuu,,damu lazima imwagike hakuna mtanzania ambae atakubaliana na huo upuuziNakuhakikishi kwamba huu waweza kuwa ndio mwisho wa Tanzania kuwepo duniani
Tutaingia barabarani kabla ya kuraNakuhakikishi kwamba huu waweza kuwa ndio mwisho wa Tanzania kuwepo duniani
Alafu bado wanalaumu wakati chanzo ni wao wenyewe na matendo yao.Tulipofurahia ya Ruangwa si kuwa tulipenda ni maumivu.
One LoveTutaingia barabarani kabla ya kura
Damu imwagike kwa lengo gani yani. Ebu acheni uchochezi bwana. Tuishi kwa Amani hapa kwetu. We should negotiate and take the positive as it is while changing the negative one. Then we will proceedndio mkuu,,damu lazima imwagike hakuna mtanzania ambae atakubaliana na huo upuuzi
Mambo ya katiba mpya ndiyo yalikuwa yaongelewe na upinzani kwa nguvu sana lakini wao wakawa ni wa kupinga serikali kwa mambo ambayo ni trivial tu, kuzusha habari zisizothibitika za trilion 1.5, kuandika barua World bank, kudai maandamano na kufanya fujo magerezani.Kama haiwezekani kupinga maamuzi ya Tume katika chombo chochote kile zikiwemo hata mahakama zetu,basi sheria inayotoa mwanya huu bila shaka itakuwa ni "bad law" na inayokiuka katiba ya nchi yetu inayotambua mhimili wa mahakama kama chombo pekee chenye mamlaka ya kutafsri sheria/kutoa haki.
Mkuu unaishi Nchi gani? Mbona wapinzani wamepiga kelele sana kuhusu kua na katiba mbovu miaka nenda rudi!mambo ya katiba mpya ndiyo yalikuwa yaongelewe na upinzani kwa nguvu sana lakini wao wakawa ni wa kupinga serikali kwa mambo ambayo ni trivial tu, kuzusha habari zisizothibitika za trilion 1.5, kuandika barua World bank, kudai maandamano na kufanya fujo magerezani. Leo miaka mitano inapita, hakuna hata mbunge mmoja wa upinzani aliyewahi kuzungumzia swala la katiba mpya na sasa ndipo wanajua wataingia kwenye uchaguzi kwa katiba na sheria hizo; kumbuka kuwa sheria ni msumeno.
mambo ya katiba mpya ndiyo yalikuwa yaongelewe na upinzani kwa nguvu sana lakini wao wakawa ni wa kupinga serikali kwa mambo ambayo ni trivial tu, kuzusha habari zisizothibitika za trilion 1.5, kuandika barua World bank, kudai maandamano na kufanya fujo magerezani. Leo miaka mitano inapita, hakuna hata mbunge mmoja wa upinzani aliyewahi kuzungumzia swala la katiba mpya na sasa ndipo wanajua wataingia kwenye uchaguzi kwa katiba na sheria hizo; kumbuka kuwa sheria ni msumeno.
Mkuu unaishi Nchi gani? Mbona wapinzani wamepiga kelele sana kuhusu kua na katiba mbovu miaka nenda rudi!
Sikio la kufa halisikii dawa, ni mda wa damu kumwagika tu. Mwisho wa uvumilivu umefika.
Kweli jisikie aibu kwani hujui kujibu mada yaani unakimbili vijambo vya kijiweni tu; kama huna elimu siyo kosa langu na siwezi kukusaidia.looh! Mpaka aibu kwa mtu mwenye elimu Kama wewe unaongea utumbo shauri ya siasa za ukanda tu.