Uchaguzi 2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

Uchaguzi 2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

Ni shida Sana kuongozwa na mtu mweusi ni lazima atafute sababu ya umwagaji wa damu hata Kama haipo.

Pia mtu mweusi hajifunzi kwa yaliyopita mfano sisi Tanzania hatuhitaji umwagaji wa damu hata ya mtu mmoja maana ya Kenya tuliyashuhudia cc wenyewe na kuyasuluhisha wenyewe. Matatizo mengine tunajitakia kabisa.

Nakuomba mh rais magufuli iokoe Tanzania kwa busara zako ili ukumbukwe kwa Mambo ambayo yatafuta file lako la nyuma.
 
International factor supporting somebody to be a president will be used effectively this year .
 
kwan KOSA la TRA kudai kodi ni nn? hio ni lzima na sio ombi, alafu wacheni kusemea mioyo ya wengine! hao hao mnaodai mnawasemea ndo kabisaa hawataki kuskia chadema mfano juzi mbowe alienda jimboni akanusurika kipigo kutoka kwa wananchi ni basi tu polisi walimwokoa, hao hao mnaowasemea ndo mlikua mnajaribu kuwapungia dodoma mkabaki kupungia miti, alafu ccm haiwezi kutoka madarakani mpaka 2100 , pole pole alishasema kabisa
Hata ikikaa madarakan hadi mwaka 3000, so what?? Mi nipo huru, sipiganii maslahi ya chama, kikundi wala mtu yeyote, CCM iwe madarakan isiwe madarakan kwang siathiriki na chochote
 
Hata ikikaa madarakan hadi mwaka 3000, so what?? Mi nipo huru, sipiganii maslahi ya chama, kikundi wala mtu yeyote, CCM iwe madarakan isiwe madarakan kwang siathiriki na chochote

your one among the few people who know where the world is at! bravo
 
Back
Top Bottom