Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Hatutajali chochote....... Hebu wajaribu waone......Tutaingia barabarani kabla ya kura
Tumevumilia sn miaka 5 ya mateso....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutajali chochote....... Hebu wajaribu waone......Tutaingia barabarani kabla ya kura
Utamwaga yako au ya aqwelina?Ndio mkuu,,damu lazima imwagike hakuna mtanzania ambae atakubaliana na huo upuuzi
Itamwagika ya nyinyi nnzi wa kijaniUtamwaga yako au ya aqwelina?
Hata ikikaa madarakan hadi mwaka 3000, so what?? Mi nipo huru, sipiganii maslahi ya chama, kikundi wala mtu yeyote, CCM iwe madarakan isiwe madarakan kwang siathiriki na chochotekwan KOSA la TRA kudai kodi ni nn? hio ni lzima na sio ombi, alafu wacheni kusemea mioyo ya wengine! hao hao mnaodai mnawasemea ndo kabisaa hawataki kuskia chadema mfano juzi mbowe alienda jimboni akanusurika kipigo kutoka kwa wananchi ni basi tu polisi walimwokoa, hao hao mnaowasemea ndo mlikua mnajaribu kuwapungia dodoma mkabaki kupungia miti, alafu ccm haiwezi kutoka madarakani mpaka 2100 , pole pole alishasema kabisa
Hata ikikaa madarakan hadi mwaka 3000, so what?? Mi nipo huru, sipiganii maslahi ya chama, kikundi wala mtu yeyote, CCM iwe madarakan isiwe madarakan kwang siathiriki na chochote