EddyC4
Senior Member
- Jul 19, 2021
- 122
- 96
Hapo mwenye macho hambiwi tazama tunaogopa kusema TU tuta ambiwa tuna udini Ila ukweli unaonekana dhahiri Kuna upande Elimu Dunia kwao sio Inshu. Mtoto Akitaka asome Akitaka akakue shuleni wait sio shida yao. Hilo liko wazi Ila ni basi tu Kwa kuwa Binadamu hasa wa Bara laAfrika tunapenda ukweli Ila uwe sio wetu . Ani tunapenda ukweli ambao hautuhusu
DA Aggy kapata 1, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa kina aisha wao n 4 tyuuh afu sio shda zao.