LeBron TZ
Senior Member
- Sep 26, 2018
- 176
- 207
Ni waalimu tu au na wanafunzi nao wana shida. Maana suala la kufaulu mwalimu akisha play part yake kama mwanafunzi haja play part yake ni lazima afeli tu, no way out. Na wanafunzi nao wachunguzwe pia.Kwa msioifahamu Mburahati, ni shule ya secondari ya kata, iko wilaya ya Kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.
Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.
Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.
Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka Serikalini?
View attachment 2474008