Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

Kosa la kiufundi serikali kuanza kufaulisha hovyo mtihani wa la saba walienda secondary wanafunzi wenye uwezo mdogo.

Pili bado elimu ni siasa hao div 4 wote wamefeli ila mfumo wa siasa unawafosi waende form 3 matokeo yake form 4 hal inazidi kuwa mbaya.

Hawajiulizi kwann A level shule za serikali huwa zinafanya vizuri yote kwa sababu wanaochaguliwa au wanaoendelea wana sifa na wana kiu ya kusoma.

Shule za kata hasa za mjini wanafunzi wanasoma kwa kuwa ndio washachaguliwa kuendelea ila hawana muda na hyo elimu Serikali ijitafakari nje ya hapo tutazidi kumtafuta mchawi lakini kamwe hawez kupatikana.
Watakaofeli la Saba na Ni watoto wadogo waende wapi? Mara Mia wateli huko huko juu wakiwa wakubwa.
 
Tunasemanga kila siku mjini watoto ni wajinga mnakataa, njooeno huku MWASHINON'GHELA,mitoto inafaulu bila nyenzo nyingii Wala walimu WA kutosha. Na haiendi Tuisheniii🤣

Mjini bila hizoo tuisheni msingeona hata hzo alama.
 
Mie nimesoma gov enzi hizooo kuanzia la kwanza had form 6...

Niseme ukweli hata kipind hiko walimu walikua hawafundishi wakati tupo form 4 masomo matano kati ya tisa hayakua na walimu na hayo yenye walimu ticha anazama mara mbili kwa wiki sa ingine mwez mzima hamumuoni...

Ikaja A LEVEL pia hvo hvo walimu hawaingii...

Licha ya yote hayo watu tulikua tunazama mapindi mtaani tuna connect na watoto wa shule bora kusaka matirio na tunagonga one kama kama kawa shule tulikua tunaita kituo cha mitihan tu...


Kwa hyo shule ka hyo watoto kufeli ni watoto wenyewe siku hz mambo mengi mara singeli, mara tik tok, mtu anaenda shule na kidaftari kimoja atapata ngapi,

Wazaz wenyewe ndio sie wa 1980's tunawaza kula tunda kimasihara[emoji28] kuna nn hapo...
Tena Bora na Miaka hii walimu walau wapo na hata Mtaani waliomaliza hawana kazi wapo ,kipindi hicho ilikuwa mbinde kweli kweli
 
Walimu wa ilboru, kibaha, mzumbe ,tabora boys , hao ndio watajikuta wanalipwa mishahara mikubwa maana wanapelekewa cream.
Kuna shule watoto wanajua asee, ukiangalia watoto wa ilboru ni A tuu kama utitiri

Hizi za uswazi huko watoto wanaenda kwa kulazimushwa hata wapelekewe maprofesa ni zero tuu
Hapana tumia akili kama watoto uliopokea ni A kunakuwa na kanuni na kama watoto uliopokea ni B kunakuwa na kanuni pia ...na C , jifunze kwenye mbia za uwanjani utaona wengine wapo mbele na wengine wapo nyuma kwa sababu ya mduara kuna hesabu zake ....tatizo watz ni wavivu wa kufikiri kusuka mipango ,na taratibu na mifumo yenye akili
 
Ila lengo kuu la Shule za kata ni kupunguza ndoa za utoto na child Labour at least wamefanikiwa na Wala siyo watoto wafaulu,serikali imefanikiwa Sana kupunguza early pregnancies na early marriage Sana tu maana zamani hata huko vijijini mtoto wa miaka 12 anaolewa Sasa hivi walau Mpk amalize la 12 ana 18yrs akiolewa sio ishu Sana au akizaa
Vijijini wanafaulu Ila dropout ndio kubwa.
Huko Mjini kwenu mnakoshindia kukata vouno vya singeli ndio mnafeli.
 
Wanafunzi wa siku hizi ni wapumbavu. Hawafundishiki sababu wazazi hawawalei ipaswavyo.

Tutegemee bomu la makahaba, vibaka, majambazi maana hata serikali ikiwafaulisha bado watafeli tu
Serikali haitoi ajira. Then watengeneza wajinga wengi
 
Shule ipo mjini kabisa , kila kona ya kuingia kutoka shule ipo online , daladala zipo za kutoshaa pembeni kama mita 600 kuna ki bettiing shop (nakijua) sasa uulize nini , binafsi , mm nnapenda pisi za hizo shule japo. Under 18 ,
 
Unaweza kukuta hizo IV ni baada ya ku standardise zaidi ya mara mbili kama yale ya Big Resilts Now
... kuna wale vipanga wa St. Francis, Canossa, etc. wengine wamepiga 97%, 95%, 99%, etc. sijui wana-standardize vipi maana ni kutowatendea haki waliopasua.
 
Ila lengo kuu la Shule za kata ni kupunguza ndoa za utoto na child Labour at least wamefanikiwa na Wala siyo watoto wafaulu,serikali imefanikiwa Sana kupunguza early pregnancies na early marriage Sana tu maana zamani hata huko vijijini mtoto wa miaka 12 anaolewa Sasa hivi walau Mpk amalize la 12 ana 18yrs akiolewa sio ishu Sana au akizaa
Hapa ndo nimekuelewa mwalimu.
Je huoni kama serikali inaongeza tatizo, maana hao wanaweza penya hadi kufika ofisini kabisa
 
Hata ningekuwa mwalimu wa hiyo shule siwezi kufanya hivyo. Nasahihisha madaftari 500+ kwa mshahara gani?
... kati ya kazi ngumu ni kusahihisha; watoto wenyewe shule za kata. Hiyo miandiko na lugha sasa! Usiombe!
 
Walimu wapo bize mitandaoni/kubet/kwenye vicoba,

Walimu bhana[emoji16]

Wakike wakikaa staff kazi kuongelea madanga tu[emoji706]
 
Shule ipo mjini kabisa , kila kona ya kuingia kutoka shule ipo online , daladala zipo za kutoshaa pembeni kama mita 600 kuna ki bettiing shop (nakijua) sasa uulize nini , binafsi , mm nnapenda pisi za hizo shule japo. Under 18 ,
Nyie ndo mnao wa felishaa, afu lawama kwa walimu khaaaah
 
Back
Top Bottom