Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

...teh hee hee..watu bwana!,huu uzi umefufuliwa!
..sasa kama dogo,tena ka-popoma kalikotukuka ulifanya katathmini kako ka-kipopoma zaidi ya mwaka na robo uliopita,
..itakuwa Amiri Jeshi Mkuu na Mheshimiwa Mwenyekiti?
..acha nilale tu,maisha ni lazima yaendelee!
 
Nimepruzi page zote sijaona hata picha!
 
Mhhh jamani mm kitendo cha kuwa mwalimu kuwalea watoto pale sekondari na huku mtaani vijana wengi kuniita brother basi kila nikiingia hapa jf najiona mm ndio moja ya watu wazima tuliopo. Sasa mtu kuniambia mwaka 1980 alikua cjui form three nimechoka sana.


SHIKAMOONI WAKUBWA ZANGU KM NIMEWAHI KUWAKERA NAOMBA MNISAMEHE HUU NI UTOTO TU UNAONISUMBUA.
 
Sasa ulikuwa unatoroka kwenda Isamilo au kurudi kirumba au Nyakato
 
Gwajima ni mtu wa kutukama ovyo...na Kuna mtu katumia lugha ya matusi humu ndo mana nikasema hivyo.
Oh sawa, Lakini tupunguze siasa kwenye majukwaa ambayo sio ya siasa,
 
Ngoja mfikie that age tuone kama bado mta demonize the age. Tz siku hz kuna katabia ka kudharau umri wa watu ila cha kushangaza huyo anaye weka dharau pamoja na kuwa umri wake ni mdogo sura imekongoroka, go figure![emoji30]
 
mimi mwaka 1980 ndio nastaafu kazi......na bado nina mpango wa kuoa mwakani
 
Ahahahahahahaaaaaaaa
 
Marhaba dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…