Hivi siku hizi Vodacom kwenye M-PESA inatuma matangazo ya michezo ya kubeti

Hivi siku hizi Vodacom kwenye M-PESA inatuma matangazo ya michezo ya kubeti

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa.

Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya.

Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
 
Hata mimi huwa naona tu sms zao za kubeti beti,ni mbaya sana kututumia link za hovyo kwenye simu,mitandao ya simu saizi imekaa kitapeli tapeli tu
 
wenye mtandao wao ni M-PESA, hao matapeli ni MPESA haina hiyo dash katikati
 
Back
Top Bottom