Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Dec 27, 2025 #1 Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa. Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya. Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa. Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya. Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
The Conscious JF-Expert Member Joined Mar 18, 2021 Posts 855 Reaction score 1,454 Dec 27, 2025 #2 Hata mimi huwa naona tu sms zao za kubeti beti,ni mbaya sana kututumia link za hovyo kwenye simu,mitandao ya simu saizi imekaa kitapeli tapeli tu
Hata mimi huwa naona tu sms zao za kubeti beti,ni mbaya sana kututumia link za hovyo kwenye simu,mitandao ya simu saizi imekaa kitapeli tapeli tu
Smooth Criminal JF-Expert Member Joined May 13, 2024 Posts 1,819 Reaction score 3,295 Dec 27, 2025 #3 wenye mtandao wao ni M-PESA, hao matapeli ni MPESA haina hiyo dash katikati
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,496 Reaction score 51,721 Dec 27, 2025 #4 Smooth Criminal said: wenye mtandao wao ni M-PESA, hao matapeli ni MPESA haina hiyo dash katikati Click to expand... Wanapewa vipi access ya kutuma sms ambazo mteja hawezi ku reply ikiwa sio Vodacom wenyewe
Smooth Criminal said: wenye mtandao wao ni M-PESA, hao matapeli ni MPESA haina hiyo dash katikati Click to expand... Wanapewa vipi access ya kutuma sms ambazo mteja hawezi ku reply ikiwa sio Vodacom wenyewe
Smooth Criminal JF-Expert Member Joined May 13, 2024 Posts 1,819 Reaction score 3,295 Dec 27, 2025 #5 Mr Q said: Wanapewa vipi access ya kutuma sms ambazo mteja hawezi ku reply ikiwa sio Vodacom wenyewe Click to expand... ukiona hivyo ujue vodacom wamepokea pesa nyingi sana kuruhusu hayo matangazo, la sivyo ni wao wenyewe wenye kampuni wameanzisha hilo kampuni uchwara
Mr Q said: Wanapewa vipi access ya kutuma sms ambazo mteja hawezi ku reply ikiwa sio Vodacom wenyewe Click to expand... ukiona hivyo ujue vodacom wamepokea pesa nyingi sana kuruhusu hayo matangazo, la sivyo ni wao wenyewe wenye kampuni wameanzisha hilo kampuni uchwara
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 28, 2025 #6 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw