Hivi Simba SC mbona kama hawapo serious na usajili?

Nitajie timu yenye mafanikio makubwa duniani na mmiliki wake ni mhindi au anatoka India
Kwahiyo yanga inaenda kuwa na mafanikio kisa haiongozwi na mshindi!!![emoji23][emoji23]dah hii nchi had aibu
 
Nyie si mabingwa wa kuchangia timu yenu,mtoeni Gabachori ili muendelee kuendesha timu kwa kuchangia
 
Kwahiyo yanga inaenda kuwa na mafanikio kisa haiongozwi na mshindi!!![emoji23][emoji23]dah hii nchi had aibu
Taja timu yenye mafanikio ambayo inamilikiwa na Gabachori kutoka India
 
Yaan wewe ndio kiaz balaa ,kwahiyo Simba kabla haijawa na mudy haikuwah kupata ubingwa?
Uchawa kwa magabachori utawamaliza marinda yote.
Wewe unaweza kulipa mchezaji yoyote wa kigeni hapo Simba Sc hata kwa mwezi mmoja (assume muddy hayupo)? Kabwela mkubwa wewe utaisaidia nini Simba?

Haya umeshindwa kuwalipa wakaondoka team ikabaki na wachezaji wa ndani tupu, utategemea kuchukua kombe gani mbele ya team zenye wafadhili kama GSM na Azam?😂.

Simba bila Muddy kwasasa haiwezi kuchukua kombe ikiwa Yanga itaendelea kubaki na mfadhili wake GSM, mmesahau enzi za Manji Simba iliitwa ya matopeni?? Na huko CAFCL&CAFCC mlifika wapi?

Mnapiga kelele humu na wakati mmeambiwa mchangie team na mmeshindwa kufikisha hata 100M, halafu unakuja kumkoromea MO humu kama sio ujinga ni nini?

KUBALI WEWE NI MJINGA KWASABABU UMESHINDWA KUTAMBUA KUWA MPIRA WA SASA NI FEDHA NA SIO MANENO.
 
kwani ni lini makolo wamewahi kuwa serious???
 
Jambo kubwa na la muhimu kwa Simba ni kutafuta kocha.

Baada ya kumpata Kocha ndio yeye afanye usajili na sio Viongozi wafanye usajili bila kufuata mahitaji na matakwa yake. Na ndicho kinachofanyika kwa sasa.
 
Kwani Yanga ina sauti gani kwa GSM?
 
Real Madrid inamilikiwa na Mwarabu?

Bayern inamilikiwa na Mwarabu ?

Chelsea inamilikiwa na mwarabu ?

PSG na Man City zina mafanikio gani duniani ?
 
Jambo kubwa na la muhimu kwa Simba ni kutafuta kocha.

Baada ya kumpata Kocha ndio yeye afanye usajili na sio Viongozi wafanye usajili bila kufuata mahitaji na matakwa yake. Na ndicho kinachofanyika kwa sasa.
Upo sahihi lakini je muda utatosha? Maana CAF wamesema mwisho ni june 30 tu

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hakuna haja ya kuwalaumu viongozi wetu kwenye usajili. Kama namna gani vipi tuchangishane tupate wachezaji wenye hadhi na klabu yetu.
 
Uko sahihi sana mkuu. Tanzania kuna shida kubwa sana ya uelewa hasa wa mpira. Usajili wa Simba sidhani unahitaji mbwembwe hizo kiivyo. Hao wanaofanya mbwembwe wanajua wanafanya kwa maslahi gani? wana uchaguzi na usajili ndo karata yao kuu. ndio maana umeona barua inatembea mitandaoni, barua ya ovyo sana. yan hata mtoto wa darasa la tatu hawezi kuielewa ile barua. logo tofauti, font tofauti nk cha kushangaza waandishi wakubwa tu wanashindwa kung'amua hilo kuona ule ujinga zaidi wanaupa promo sijui wanalipwa nn? maana kuna hela ya sasa lakini tuna uadilifu kwenye carrier yako.
 
shabiki mwenzangu wa Simba umeshindwa kuhimili joto la fununu za usajili.kaa kwautulivu Simba aijawai kushindwa vita.Africa ina mamia ya wachezaji bora na mahili.
 
Ile barua ilisambazwa kwa ili ionekane kwamba Simba Sc alitaka kumsajili Aziz ila akapigwa bao, yani ilimradi tu ionekane wamesajili player aliyekuwa anatakiwa sana Africa ilhali hakina team yoyote kubwa iliyohusishwa nae.
 
Siku zote wachezaji wazuri wanagombewa. Ukiona mchezaji hagombaniwi na timu ujue huyo ni galasa

Niambie Luis miquison alikuwa anagombewa na nani?,inonga alikuwa anagombaniwa na nani?,chama alikuwa anagombaniwa na nani walivyokuwa wanataka kutua simba?ukiwa shabiki wa utopolo fc lazima akili zikuruke
 
Kwenye pesa ya usajili wewe unatoa sh ngapi? Ikiwa tu mashabiki wote wa Simba kwenye changizo linaloendelea kwa wiki 1 na siku kadhaa ndo kwanza wapo milion 100!?
Unaweza kulazimisha Everton imsajili Mbape kisa tu zote ni timu za Ulaya?
 
😁😁Yani we acha kuna baadhi ya wachambuzi pia na viongozi wenye malengo ya matumbo yao wameeanza kupiga rhumba eti mara wamefeli mara nini !?Yani kukosa kombe msimu 1?seriously …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…