Hivi Simba SC mbona kama hawapo serious na usajili?

Kwenye pesa ya usajili wewe unatoa sh ngapi? Ikiwa tu mashabiki wote wa Simba kwenye changizo linaloendelea kwa wiki 1 na siku kadhaa ndo kwanza wapo milion 100!?
Unaweza kulazimisha Everton imsajili Mbape kisa tu zote ni timu za Ulaya?
Akijibu nishtue
 
unamaanisha waarabu wa man city ama wapi hao
 
yaani tunavyojua kulalamika ilhali hatuchangii chochote kwenye ustawi wa klabu zaidi ya maneno,,tuache wanaoweka hela zao waamue wanchotaka......
Nadhani Simba na Yanga waamzishe uhamasishaji wa mashabiki wao kuchangia vilabu vyao kila mwezi
 
Kisa Aziz Ki na Adebayor!! nchi ina mashabiki wa ovyo hii
 
Kama we ni mpigaji jipange sana.
Hiyo crisis ni ipi na nani anaijua?
Usijisahau na kututukana sie mashabiki ndio tunaipa nguvu club.
Lazima tuwalaumu kwa uongozi wa hovyo kwani hiyo miaka 4 wengine mlikuwa kama sisi tu.
Mwisho acheni kujidai wazungu wakati mnacheza ngoma za kibongo tu
 
Kwenda huko utopolo weweeeee,tuachie Simba yetu
 
Simba iendelee na iyo iyo staili ya kuokoteza wachezaji walioachwa na wazee lakini wale wanaoonekana wana uswahili wataendelea kuvunja mikataba ya wachezaji wazuri kwa dau lolote alafu mwisho wa siku zile story za wananunua mechi zitaanza kurudi kwa kasi
 
Jambo kubwa na la muhimu kwa Simba ni kutafuta kocha.

Baada ya kumpata Kocha ndio yeye afanye usajili na sio Viongozi wafanye usajili bila kufuata mahitaji na matakwa yake. Na ndicho kinachofanyika kwa sasa.
Kwaiyo kocha atapatikana ndani ya huu muda mfupi na hapo hapo aanze usajili wa wachezaji na kutuma majina kabla ya trh 30 june, hao wachezaji wa kimataifa anafika tu na kujizolea haraka haraka bila mazungumzo wala nini?
 
Wewe ni mmoja wapo wa wapumbavu tu.
Kwani waliotuambia kuwa Simba inaweza kumsajili mchezaji yoyote ni akina nani?

Ni nani waliotuambia wanataka kumsajili Adebayo?Au Aziz K?Sio hao hao viongozi kujaribu kutufanya sisi maembe?

Kama kweli ni hawana hela,kwa nini walikataa udhamini wa Azam TV?
Au kama kweli hawana pesa,kwa nini hawauzi kadi za uanachama na watu wengi wanazihitaji?

Tusichoshane,sisi mashabiki hatutaki upumbavu kutuletea maneno ya janja janja na kutumia magazeti uchwara kuleta sifa za kijinga.
Kama hawana hela waseme sio kujipiga vifua wakati hawana moyo wa kutoa au hawana hizo pesa
 
yaani tunavyojua kulalamika ilhali hatuchangii chochote kwenye ustawi wa klabu zaidi ya maneno,,tuache wanaoweka hela zao waamue wanchotaka......
Wewe ndiye huchangii chochote.
Tunafanya mengi sana kusapoti timu.Hawa watu wa hache wasituletee upuuzi wao
 
Hayo maneno ya mkosaji mliacha lini kutogombea wachezaji? Si juzi tu hp mlitupiga bao kwa Bwalya na Konde boy? Safari hii tu hamna pumzi huo ndio ukweli tumewapiga bao kwa Aucho,Djuma,Ki Aziz na bado tutawanyoosha sanaaaaa
 
Timu km Ahly,Wydad,Berksane hawakuwa siriaz sana yaani sio kipaumbele chao wana wachezaji wengi level ya Aziz au hata zaidi ya Aziz wangeamua hasa Yanga tusingeweza bishana nao huo ndio ukweli ila nyie hamna hela ya kubishana nasi kifedha kwa sasa
 
Hakuna haja ya kuwalaumu viongozi wetu kwenye usajili. Kama namna gani vipi tuchangishane tupate wachezaji wenye hadhi na klabu yetu.
Tuchangishane kwani nini dhumuni la kubadili mfumo wa Club na kumpatia mwekezaji Mwamedi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…