Mashabiki wa Tz(kibongo) ni wajinga sana, nadhani hii inaletwa kukosekana kwa exposure miongoni mwao. Team imefanya vizuri ndani ya miaka minne na kuwapa burudani ya kutosha ila leo wanalalamika utafikiri wameikosa ubingwa kwa miaka kumi, au labda team ineshuka daraja, au pengine imeshindwa kufuzu CAFCL, DAAAAAH[emoji1].
Pale Simba Sc kuna critical problems zilizotokea msimu uliopita, sasa watu wapo busy kutafuta ufumbuzi ila mashabiki mpo busy kulalamika mnataka Simba Sc ianze kushindania wachezaji, huu sio ujinga?
Wengine utasikia MO kaishiwa hela na sababu yenyewe ni kutomsajili Aziz Ki, haya hizo team kubwa zote Africa (Ahly, Wydad, Eserence,Mamelod, Pirates,Berkane...nk) zenye mpunga wa maana mbona hazijamsajili ikiwa kigezo ni pesa? MO anaishiwaje pesa kwa kitu merely kama kuongoza Simba Sc kitimu kidogo tu?
Acheni ujinga aiseeh, huko ulaya team zinakosa makombe miaka 30 au 10 lakini mashabiki hawawezi kuwa mentality za kijinga hivi.