Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

Ni heri ukaiuza hyo simu ukamnunulie mabati mama yako kule ziwa magharibi kuliko kusubiri msaada wa govt
 
kutumia iphone halaf ukawa unaandika pumba humu ndan ni heri utumie tecno/huawei......
 
Ipo siku wenye m v8 watauliza ina maana na sisi wenye V8 tunatumia same roads na wenye vi passo na vits na ist. This is not fair[emoji38][emoji38][emoji38]
Na iko siku wenye Marcopolo G7 kama Dar Express watahoji kwanini wanatumia stendi moja na wenye Yutong f11. This is not fair! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from Nokia Tochi using Jamiiforums mobile app
 
Kampuni ya Samsung imewataka wateja wake wanaomiliki simu zake za Galaxy Note 7 kuzizima mara moja, wasema ni hatari zinawaka moto.

- Kampuni hiyo imesema hata zile ambazo kampuni hiyo ilikuwa imethibitisha kwamba ni salama, zinawaka moto.

Zaidi, soma => http://bit.ly/2eb0Gmt
 
Basi Sawa kama wapo Humu watalipwa na fidia
 
Ni haki kweli hii wakuu?
Hahaha kwa mara ya kwanza kuiona hii sms nilicheka ila walimponda sana aliyeileta wasijue kama ni utani hapana mkuu zinachanganyikana ila.ukizichek vizuri utaona mwishon mwa sentensi inaandika ip au te au it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…