Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninauhakika kuna catalyst ina alter hizi hasira.Aha haha la la la la sijui hizi Hasira zinatoka kwa mada hii tu au kuna catalyst
Ni haki kweli hii wakuu?
Muuza uyoga kapata"Haipendezi kujiona bora kwa sababu ya makazi
Kwani utakapo kufa hauozi ?"
Afande Sele
dah nooma sanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zangu mmiAnzisheni JamiiForums yenu tu hakuna namna kushare na itel!
Na iko siku wenye Marcopolo G7 kama Dar Express watahoji kwanini wanatumia stendi moja na wenye Yutong f11. This is not fair! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ipo siku wenye m v8 watauliza ina maana na sisi wenye V8 tunatumia same roads na wenye vi passo na vits na ist. This is not fair[emoji38][emoji38][emoji38]
dah nankumene umenena kituu hatupendi zaraukutumia iphone halaf ukawa unaandika pumba humu ndan ni heri utumie tecno/huawei......
How old are you?Ni haki kweli hii wakuu?
Ashaizoea huyo akipiga picha inatoka na ukunguHuna Hasira wewe? Au ushaizoea
Kwanza hizo sijui galax zinalipuka ovyo. Za kaz gan[emoji57]Ni haki kweli hii wakuu?
Basi Sawa kama wapo Humu watalipwa na fidiaKampuni ya Samsung imewataka wateja wake wanaomiliki simu zake za Galaxy Note 7 kuzizima mara moja, wasema ni hatari zinawaka moto.
- Kampuni hiyo imesema hata zile ambazo kampuni hiyo ilikuwa imethibitisha kwamba ni salama, zinawaka moto.
Zaidi, soma => http://bit.ly/2eb0Gmt
Point kubwa Big upndio maana mungu anawafanya watu wachache wawe matajiri wengi maskini
Hahaha kwa mara ya kwanza kuiona hii sms nilicheka ila walimponda sana aliyeileta wasijue kama ni utani hapana mkuu zinachanganyikana ila.ukizichek vizuri utaona mwishon mwa sentensi inaandika ip au te au itNi haki kweli hii wakuu?