Hivi suala la mtoto kukopesha mzazi limekaaje?

Hivi suala la mtoto kukopesha mzazi limekaaje?

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,092
Reaction score
2,923
Habari wanajukwaa kongwe kabisa,

Poleni na majukumu ya hapa na pale pia tusijisahau kuwa Adui yetu COVID-19 bado yupo, hivyo wazungu wanasema "Healthy is the new wealth" hivyo Afya ni mtaji wa kila mtu.

Naenda straight to the point.

Ni hivi: Mimi na mzee wangu ni mstaafu sasa ni miaka mitatu umepita tangu amalize pension yake na mimi nilibahatika kupata kamkopo chuo. Sasa tangu niingie mwaka wa pili huyu mzee wangu amekuwa hana hata haya anasema nimkopeshe, nimemkopesha karibia 45% ya hako kamkopo ka meal and allowance, lakini tena baada ya kusikia vyuo vinafunguliwa na mikopo itatolewa mapema, sasa anataka nimkopee tena zaidi ya sixty thousands nami na mipango yangu ya kuanzia kujitegemea hasa baada ya kuhamasika na Uzi mmoja unaosema "Ewe kijana, ulianzaje kukaa ghetto?"

Maana kwa Dodoma bado tuko hosteli, hivyo nili-plan nianze kununua items kidogo kidogo tu. Sasa hawa wazee wanatukwamisha. Pia, huwa nimkopesha hazirudi na ni ngumu sana kumdai kwa sababu yeye ndo kanisomesha: Ada, mahitaji, n.k

Sasa ni afadhali hata ningekuwa na kazi lakini sina. Kila nikitaka kumwambia ukweli roho inasita. Hapa niko dilemma ndo maana nikaamua nifunguke hapa walau naweza pata ushauri kuhusu hili suala, maana mipango yangu inarudishwa nyuma kweli.

Nawasilisha.
 
Mwanaume ili upendwe lazima

You should be ashamed of yourself.

Mzee wako huyo ambae leo hana haya ndie kakupigania hadi umeingia chuo na kufulia kuonekana wa maana mpaka umeshanjunjua kiasi chake.
Ila sasa bado sina ajira permanent, na pia pension yake yote million 180 imeisha kwa slay queen's; anyway ndo hivo sijakata Ila imekuwa too much. Keep in mind "Always too much is harmful"
 
Pension yake imekulaza njaa?

Mwache ale Bata alikupigania kiasi chake.
Hapana,Ila yaani anyway uko sahihi Kwa upande wako Ila hayajakukuta ndo maana,kahela hako hako usurvive miezi minne,ule, uvae,utoe copy ,hapo hapo kama Una kademu uhonge,ubeti,na pia usave ,tena ukopeshe ni lini SASA utadevelop?
 
Daaaaa!! Mkuu kazi unayo aiseee.Mzazi hakopeshwi na huwezi kumdai hapo wewe unampa.Lakini sasa wakati mwingne mm sina ili uone wewe utaishije? Kwani si Ana pension ya kila mwezi?
 
Daaaaa!! Mkuu kazi unayo aiseee.Mzazi hakopeshwi na huwezi kumdai hapo wewe unampa.Lakini sasa wakati mwingne mm sina ili uone wewe utaishije? Kwani si Ana
Pension ya kila mwezi?
Anayo but anahonga Sana inaisha perday
 
Huwez jua baadae ukimaliza chuo ataku support katika hiz ajira za connection...hizi ni changamoto tu unapitia relax and keep help ur parent this is ur time ,ata yeye kuna wakati alikuwa anataka kukata tamaa kukusomesha Ila akajikaza upate elimu..,hivyo bac msaidie inapo bidi..kumsaidia ..#maisha ni kuwa uyaone...
 
Huwez jua baadae ukimaliza chuo ataku support katika hiz ajira za connection...hizi ni changamoto tu unapitia relax and keep help ur parent this is ur time ,ata yeye kuna wakati alikuwa anataka kukata tamaa kukusomesha Ila akajikaza upate elimu..,hivyo bac msaidie inapo bidi..kumsaidia ..#maisha ni kuwa uyaone...
Sawa but kwangu Mimi imekuwa too much as if am employed sikatai kumsaidia hata kama kishingo upande nitampa Ila yaani mpaka Niko in dillema ,Any mkuu thanks for your advice umenipa moyo kidogo.
 
Back
Top Bottom