Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
Basi hata hiyo 65% hatorudisha kwa hiyo hapo husemi kumkopesha bali unasema kumpa,Hakurudisha
Swali lingine,
Nani analipa ada ya chuo?
Basi hata hiyo 65% hatorudisha kwa hiyo hapo husemi kumkopesha bali unasema kumpa,Hakurudisha
Yeye mkuuBasi hata hiyo 65% hatorudisha kwa hiyo hapo husemi kumkopesha bali unasema kumpa,
Swali lingine,
Nani analipa ada ya chuo?
Sasa pesa ya kulipa ada anapata wapi?Yeye mkuu
Wastaafu huwa wanakiinua mgongo mwisho wa mwezi mkuu,Ila huyu mzee wangu Mimi yaani akipata huwa inaisha siku hio hio na Kwa Ada ya semester hii ilibidi niombe msaada Kwa ndugu hasa wajomba mkuu,na wote wanajua tabia yake inafikia time mkuu namkumbuka Sana marehemu mama yangu..ngoja niishie hapo naweza kutoa machozi mzeeSasa pesa ya kulipa ada anapata wapi?
Ila sasa bado sina ajira permanent, na pia pension yake yote million 180 imeisha kwa slay queen's; anyway ndo hivo sijakata Ila imekuwa too much. Keep in mind "Always too much is harmful"
[emoji23][emoji23][emoji23] umekuwa muwazi sana , ila kutoa copy si lazima mkuu fanya kutumia cam scanner au uwe unawinda softcopy unapiga msuli kwa simu au kama una pc unanyoosha pindi simple .Hapana,Ila yaani anyway uko sahihi Kwa upande wako Ila hayajakukuta ndo maana,kahela hako hako usurvive miezi minne,ule, uvae,utoe copy ,hapo hapo kama Una kademu uhonge,ubeti,na pia usave ,tena ukopeshe ni lini SASA utadevelop?
Bro Sawa,but ukiangalia kanisomesha international schools Kwa hela zake inakuwa ngumu kidogo since kindergarten.Ah hapo mchinjilie mbali... Yaanin180 kaenda kugegeda alafu njaa anakuja kulilia kwako... Hapo ukimchunua huna dhambi mkuu.
Asante,Ila mkuu remember hizo copy ni group assignment na hasa projects[emoji23][emoji23][emoji23] umekuwa muwazi sana , ila kutoa copy si lazima mkuu fanya kutumia cam scanner au uwe unawinda softcopy unapiga msuli kwa simu au kama una pc unanyoosha pindi simple .
Nimesoma kwa hiyo staili na nimetoboa fresh tu we chukua ma pdf tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] damn!Sasa pesa ya kulipa ada anapata wapi?
Mkuu unacheka,usiombe yakukutee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] damn!
Bro Sawa,but ukiangalia kanisomesha international schools Kwa hela zake inakuwa ngumu kidogo since kindergarten.
Ndo hivo mkuu,SASA huwezi kukataa kumpa hivo visenti,kibaya zaidi mi nikiishwa huko chuo,Hana msaada wowote zaidi na survive Kwa madeni mkuu.Suala la kusomesha hilo ni wajibu wake kama mzazi. Shukuru kuwa ameweza kukusomesha international schools lakini hii iafuti upuuzi wake.
Huwezi ukawa mstaafu alafu 180million unaenda kugegeda wakati huna means za kuishi huku bado unategemea mtoto... Hapo nikrudishana nyuma tuu.
Yap,nilisahau kukwambia except projects nilienda direct kwenye za kusomea nikajua wewe ni design ya watu wanaotoa copy notes ili wasome .Asante,Ila mkuu remember hizo copy ni group assignment na hasa projects
Wee mie makwambia achana nae saidia pale unapoweza.Ndo hivo mkuu,SASA huwezi kukataa kumpa hivo visenti,kibaya zaidi mi nikiishwa huko chuo,Hana msaada wowote zaidi na survive Kwa madeni mkuu.
Sawa kakaWee mie makwambia achana nae saidia pale unapoweza.
His responsibilty. Ni jukumu alilojitwisha alipoleta mtoto duniani.Mwanaume ili upendwe lazima
You should be ashamed of yourself.
Mzee wako huyo ambae leo hana haya ndie kakupigania hadi umeingia chuo na mpaka unaonekana wa maana mpaka umeshanjunjua kiasi chake huo mtaa wenu.
Thanks mkuuYap,nilisahau kukwambia except projects nilienda direct kwenye za kusomea nikajua wewe ni design ya watu wanaotoa copy notes ili wasome .
Ninecheka swali lake , [emoji23][emoji23] .Mkuu unacheka,usiombe yakukutee
Mkuu hicho kimombo SASA..teh..tehHis responsibilty. Ni jukumu alilojitwisha alipoleta mtoto duniani.
Mtoto ni jukumu la mzazi and not the other way around.
Twist my words as you wish, attack me personally, but that will remain a fact upheld and enforced by all moral and legal codes on earth.
Kuna rafiki yangu mmoja ni foreigner, uwa anapenda uniambia ukimtunza na kumsomesha mtoto na kujinyima usiwe na mawazo kuwa atakusaidia maana anaweza asikusaidie kabisa maishani. Jamaa anamnanga Mzee wake anasahau kuwa kamtunza kwa zaidi ya miaka 20 bila kulalamika.Dah. Aliposema tu 'huyu Mzee wangu hana hata haya' nilijiskia tu huzuni wallah. 😥