Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
- Thread starter
- #61
Sawa now get the point..Ila ninakuelewa maana maisha ya chuo boom likikatwa 65% hali inakuwa tete maana lazima ukomae kwa kula apple kipande asubuhi na kipande usku.
Sawa now get the point..Ila ninakuelewa maana maisha ya chuo boom likikatwa 65% hali inakuwa tete maana lazima ukomae kwa kula apple kipande asubuhi na kipande usku.
Mkuu Sawa mi kilaza I admit it,Ila remember ni mzazi nawe haya hayajakukuta.Yani upo chuo na huna mbinu za kumpiga saund mzee wako nasemaje wewe ni kilaza endelea tu kumkopesha huyo mshua wako maana amekuzidi akili na maarifa.
Mkuu aisee kweli Jf ukisema ukweli kumbe ni Zaidi ya ushauri kuliko ningekaa nalo hili moyoni nianze kupata tension na frustration mkuu, umenipa si Tu ushauri Bali ni Bonge la ushauri wa miaka na Kwa next generation.Mtu akiwa na challenges kama hizi basi atasolve Kwa kusoma huu Uzi..NARUDIA VIVA JAMII FORUMS ,VIVA ENG MAXENCE MELO ,NIMEPATA AKILI HAPA NA THANKS MKUU KWA NICE ADVICE!mkuu kwanza tambua fika kuwa boom kiuhalisia sio mkopo bali ni mkopo kwa jina tu boom kiuhalisia ni kama mshahara tu.
Kama ulikuwa unaamini kuwa boom ni mkopo erase it from you mind.boom ni mshahara wa chuo kwa kazi yako ya kusoma.
Kwa sababu unakopeshwa na serikali bila kutoa pesa yako mfukoni,alafu mwisho wa siku serikali hiyo hiyo inakuja kukupa ajira inakuambia tunakulipa laki saba ila laki mbili tunazikata kwa miezi 12 kwaa ajili ya zile pesa ambazo tulikuwa tunakupa shule.
Kwa hiyo unakopeshwa pesa na mtu alafu baadae mtu huyo huyo anakupa ajira anakuambia kile kipesa nakata humuhumu,hapo manake mwanzo alikukopesha mshahara wake.
Sasa jua kuwa huo ni mshahara,usiseme mkopo bwana,umekopeshwa sehemu ya mshahara wako.
Kwa hiyo ukilegalega na kugawa tu ujue kuwa unaugawa mshahara wako,baadae ukiajiriwa utakuja kupokea pesa ambayo ina makato ya hizo pesa zako ambazo ulikuwa unazigawa tu bila kujua kuwa ulikuwa ni mshahara wako.
Usicheze rafu mkuu,kuwa makini na mshahara wako huo.
Kuhusu mzazi mkuu kwanza kuna formula moja huwa naitumia mimi...
Ndugu yeyote akinikopa pesa bila mimi kumuanza basi simkopeshi yote,akinikopa 50000 namuambia mambo sio mazuri namuambia ntakukopesha 25000,hapo najua akinidhulumu inapunguza maumivu kuliko kunidhulumu 50000 yote.
Sasa mzee wako anapokukopa labda 350,000 mwambie "dah faza hapa nimepungukiwa hiko kiasi ila siwezi kusema uongo kuwa sina kabisa,hapa nina kama 150,000 ambayo niliiweka kama kaakiba cha emergence ila emergency zenyewe ndo kama hizi"
Kumbe wewe 350K unayo,sasa hapo ni ngumu kuisusia,hapo akitaka umpe hiyo hiyo 150,000 si utakuwa umeokoa 200,000.
Sas kutokurudishiwa 150k na kutokurudishiwa 350k ipi ina afadhali ?
Utajibu mwenyewe hapo.
Mkuu hakuna ubaya kuwakatalia wazazi wetu yale ambayo yanatuumiza sisi,bali ubaya ni kutoa makavu live kwa mtu ambaye wewe unakuja duniani yeye ana miaka 25 tayari au zaidi.
Jifunze kusema hapana kwa mzazi lakini hapana ya kuzunguka.
Wengi wetu tunakereka na wazazi wetu mienendo yao na tunaumia kwa sababu tunadhani kuwa kukataa ni lazzima useme live kuwa faza sitaki kukupa pesa no.kukataa unaweza kuzunguka zunguka lakini ikawa umekataa vilevile.
So jaribu kusema hapana kwa kuzunguka zunguka hivi kwa mzee,huyo ni mzee wako kumbuka,mzeee hata kama ni malaya epuka kumuambia maneno makavu.
Kuanzia leo epuka kutoa pesa yote,toa nusu mkuu..
Ukikopwa 50k toa 20k.it's better to lose 20k than losing 50k
Kumbuka kuwa BOOM ni shehemu ya mshahara wako,ukiamini kuwa ni pesa ya mkopo from no where basi utakuja kuelewa hapo mbele ukiajiriwa.
Alafu pia ukishamkopesha nusu au robo ya aliyokuomba,usimdai kwa sababu kumdai kuna hasara kuliko faida,tarehe za ahadi zikifika kausha,usimpigie simu kwa sababu pengine ayltaona kuwa unamkumbusha kishkaji,kausha kausha kausha moaka apige yeye.
Hapo itamfanya akumbuke kuwa unamdai na pengine ikasaidia kwake kutokukukopa tena kwa sababubanajua kuna deni analo kwako.
UFUPISHO.
ukikopwa,toa nusu au robo ya uliyokupwa,itamfanya mkopaji aamini kuwa nia ulikuwa nayo ila tu uwezo haukuruhusu,hivyo atakuelewa.
Mkatalie mzee wako kisiasa hivi kwa kutumia mfano wa njia ya hapo juu.
Boom ni sehemu ya mshahara wako.
Ukimkopesha mzazi pesa usimdai wala usimkumbushe,acha ajikumbushe mwenyewe wewe kausha.
AiseeeNdio mana vijana wa kiafrika tunachelewa kutoboa. Hapo ni boom tu ukipata kazi si itakuwa balaa .
Simdai Bali ni mfano hai Tu,wazee sometimes ni changamoto mkuuKwa hyo unamdai kwa sababu pesa yake kaifanyia matumizi hayo?,
We mangapi mabaya umeyafanya tangu uzaliwe kakuvumilia
Nice advice, kweli wema usizidi uwezo!Unapaswa kuwasaidia wazazi wako.
But not to that extent
Hivi ulisoma English medium au??I know you are beyond that, that was just for the benefits of other people who might get offended by my words.
When the child stops being the parents' responsibility is up to debate. In my opinion, for the best parents a child is a perpetual responsibility.
Ni kweli Ila ndo Mungu wa pili Duniani mkuu!huyo mzee wako ni mpuuzi
Ni kweli mi sikatai huwa nahonga 11% lakini 45% ni Kwa mzazi mkuuNdokizazi chetu cha digitali na hapo ukute anahonga na anafanya matumizi mengine yasiyo na tija ila kwa mzazi wake anaona anapoteza,pathetic
Kingsmann
Sent using Jamii Forums mobile app
NitajitahidiAcha upumbavu dogo..... Dingi mfanye mshikaji wako.... Hata akienda kula watoto ww mpe....... Utaona utakavyopewa baraka..... Yaan baraka za mzazi acha tu.... Yaan hata mambo yako ya naweza nyooka hata ww bila kujua how..... Sasa ww jifanye unajua maisha....
Ww mwambie baba... Mm napokea kiasi flani.... Kwahiyo nikikupa hiki... Kinachobaki ndio nitafikisha kwenye boom jingine
English medium mkuu hio,aiseeTwist, attack you personally? 🙄🙄
Assuming a child is the parents responsibility, upto what age?
Kweli ndio nimesema Kwa sababu imekuwa too much mkuu,sina ajira SASA nazidi kuishi maisha ya ajabu chuo mkate mmoja na chai aisee,Mkuu, unasema mzee wako hana haya kisa kakuomba pesa?
SawaMwambie ukweli, unapotoa hela hiyo unaishi kwa shida chuoni, otherwise kama ana shida ya lazima mfn chakula, ugonjwa msaidie utapoweza.
Usijali mkuu.Mkuu aisee kweli Jf ukisema ukweli kumbe ni Zaidi ya ushauri kuliko ningekaa nalo hili moyoni nianze kupata tension na frustration mkuu, umenipa si Tu ushauri Bali ni Bonge la ushauri wa miaka na Kwa next generation.Mtu akiwa na challenges kama hizi basi atasolve Kwa kusoma huu Uzi..NARUDIA VIVA JAMII FORUMS ,VIVA ENG MAXENCE MELO ,NIMEPATA AKILI HAPA NA THANKS MKUU KWA NICE ADVICE!
Dah kama ushauri wa kijinga ila kuna jambo hapo.Acha upumbavu dogo..... Dingi mfanye mshikaji wako.... Hata akienda kula watoto ww mpe....... Utaona utakavyopewa baraka..... Yaan baraka za mzazi acha tu.... Yaan hata mambo yako ya naweza nyooka hata ww bila kujua how..... Sasa ww jifanye unajua maisha....
Ww mwambie baba... Mm napokea kiasi flani.... Kwahiyo nikikupa hiki... Kinachobaki ndio nitafikisha kwenye boom jingine