Hivi suala la mtoto kukopesha mzazi limekaaje?

Wazee wenzangu tujitahidi wakati bado tuna nguvu. Mtoto akusaidie kukupeleka chooni ukiwa na kiharusi. Siyo mtoto asaidie kukulisha. Kimsingi, siyo kazi ya mtoto hiyo. Na wewe kumsomesha mtoto ni wajibu wako kwa sababu wakati unamzaa haukumshirikisha.
 
ON POINT
 
Mkuu sometimes it's better to be open ili upate ushauri mzuri Kwa watu...

Mkuu sawa ila kuwa na uwezo wa kufix mambo hata kwa level ya familia kabla hujaexpose kwa watu na yenyewe ni kitu kizuri..JIFUNZE HII KITU MAN.

Lakin kama ulifeli kufix I CANT BLAME YOU.
 
Hiyo kuja tu kutuambia sisi, aibu ya Baba yako ni kosa kubwa na kumkosea heshima.
Wewe mpaka umefikia umri huo, unajua ulimuuzi mangapi na baba alivumilia hata jirani yenu, hamkumsimulia.

Umemkosea heshima sana, hivi sisi tuamue aibu ya Baba yako, kama ilivyoandika mwenyewe, hana aibu, dar, tuendako watakaishi maisha ya baadae sijui watajivunia nini, maana mroto wako aweza kuwa hadui.
 
Bro lazima uangalie pande mbili za shilling mkuu,kama huna cha kushauri it's better to keep quiet.
 
Back
Top Bottom