Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Kwanini?Dah. Aliposema tu 'huyu Mzee wangu hana hata haya' nilijiskia tu huzuni wallah. 😥
Mwanaume ili upendwe lazimaKwanini?
Ila sasa bado sina ajira permanent, na pia pension yake yote million 180 imeisha kwa slay queen's; anyway ndo hivo sijakata Ila imekuwa too much. Keep in mind "Always too much is harmful"Mwanaume ili upendwe lazima
You should be ashamed of yourself.
Mzee wako huyo ambae leo hana haya ndie kakupigania hadi umeingia chuo na kufulia kuonekana wa maana mpaka umeshanjunjua kiasi chake.
Pension yake imekulaza njaa?Ila SASA bado sina ajira permanent,na pia pension yake yote million 180 imeisha Kwa slay queen's anyway ndo hivo sijakata Ila imekuwa too much. Keep in mind "Always too much is harmful"
Angebadili tactics.Mzazi hakopeshwi, huna unamwambia ukweli huna, kukopesha ni lawana.
Ni kweli but mi nakuwa na moyo wa huruma Sana but naona this is too much.Mzazi hakopeshwi..huna unamwambia ukweli huna..kukopesha ni lawana.
Hapana,Ila yaani anyway uko sahihi Kwa upande wako Ila hayajakukuta ndo maana,kahela hako hako usurvive miezi minne,ule, uvae,utoe copy ,hapo hapo kama Una kademu uhonge,ubeti,na pia usave ,tena ukopeshe ni lini SASA utadevelop?Pension yake imekulaza njaa?
Mwache ale Bata alikupigania kiasi chake.
Fanya Kama alivyosema karucee hapo..ukiwafuatisha Sana utakuwa hufanyi yako..waeleweshe waelewe.Ni kweli but mi nakuwa na moyo wa huruma Sana but naona this is too much
Anayo but anahonga Sana inaisha perdayDaaaaa!! Mkuu kazi unayo aiseee.Mzazi hakopeshwi na huwezi kumdai hapo wewe unampa.Lakini sasa wakati mwingne mm sina ili uone wewe utaishije? Kwani si Ana
Pension ya kila mwezi?
Karucee anasemaje?Fanya Kama alivyosema karucee hapo..ukiwafuatisha Sana utakuwa hufanyi yako..waeleweshe waelewe.
Sawa but kwangu Mimi imekuwa too much as if am employed sikatai kumsaidia hata kama kishingo upande nitampa Ila yaani mpaka Niko in dillema ,Any mkuu thanks for your advice umenipa moyo kidogo.Huwez jua baadae ukimaliza chuo ataku support katika hiz ajira za connection...hizi ni changamoto tu unapitia relax and keep help ur parent this is ur time ,ata yeye kuna wakati alikuwa anataka kukata tamaa kukusomesha Ila akajikaza upate elimu..,hivyo bac msaidie inapo bidi..kumsaidia ..#maisha ni kuwa uyaone...
Kama aliponda starehe na vibinti, jikune pale unapofikiaIla sasa bado sina ajira permanent, na pia pension yake yote million 180 imeisha kwa slay queen's; anyway ndo hivo sijakata Ila imekuwa too much. Keep in mind "Always too much is harmful"
HakurudishaHiyo 45% uliyomkopesha before alikurudishia?
Kivipi?Kama aliponda starehe na vibinti, jikune pale unapofikia