naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Du V2 alifariki au umechanganya na Chuchu Yusuph aliyeimba naye?Huyu nadhani alifariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du V2 alifariki au umechanganya na Chuchu Yusuph aliyeimba naye?Huyu nadhani alifariki
OCG alikua anaishi Finland miaka fulan hivi nadhan bado yupo hukoOCD -aqwelina eenhee
OCD-kizaza
Yupo wapi huyu
Pole yake aisee yaan huyo ni mmoja wa watu ambao hawakufaidi matunda ya muzikiComputer yupo km miezi miwili iliyopita alifiwa na baba ake
Yupo kimara
Ni OCGOCD -aqwelina eenhee
OCD-kizaza
Yupo wapi huyu
Yupo anaendesha bajaj tabata bima. Kuna kijiwe cha kubeti pale jirani na georgina bar anakuwepo kila siku tunabeti nae.Mchizi mox! Hawa wakongwe waeua talent zao wenyewe
ddduuuhh huyu sidhani kama kuna ambaye anamkumbuka humu "" Jamaa alitisha sana kwenye hzo ngoma ""..OCD -aqwelina eenhee
OCD-kizaza
Yupo wapi huyu
mmmh usiniambie ..OCD alifariki ""..Huyu jamaa alishafariki kitambo
hapana OCD ni mwingine na john mjema ni mwingine kabisaaa""..Ya kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihisha
hahaha ..kweli sio poa aisee..."" yeye anawaza kuingiza Pesa tu "" anashindwa kuhifadhi hata kwaajili ya kumbukumbu..""ndio maana waafrica tunaendelea kutawaliwa tu kila kukicha ..kutokana na ujinga wetu wakudharau history Yetuaiseee huyo mamu shoga kweli unakosaje album za hawa wasanii wetu wa kitambo
Hiyo Akwelina alimshirikisha Juma Nature au nimechanganya madesa ?ddduuuhh huyu sidhani kama kuna ambaye anamkumbuka humu "" Jamaa alitisha sana kwenye hzo ngoma ""..
Sio huyoYa kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihisha
naaam alikuwa na juma kiroboto ""..Hiyo Akwelina alimshirikisha Juma Nature au nimechanganya madesa ?
Afadhali sana kama ana chanzo chake cha kipato cha uhakikaSaigon amekuwa ustadh, katika huo ujinga alishajitoa kitambo na hata ukimuona siyo yeye tena.....Ni presenter wa Tv/Radio Imaan Morogoro.
Mnyamaaaa PIG BLACK wa FREE DOGS CAMPNini mnataka mazeee, nini mnatakaaaa
Hapa ni shwaaari
Mbona umenunaaaaaa na hauchekiiii tenaaaaaaa najuta naogopaaa rohoo inaniumaaaaaa ..... Rnb Kali kabisa sijui naevalipotelea wapi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa iyo ndo umenuna
Ni OCG mkuu sio OCD na yeye jina lake ni John inawezekana ndio maana amewachanganyaSio huyo
Chorus ya kizaza ilikuwa hivi
Gonjwa hili limezua kiza zaa
Mzozo gumzo
Kwa masister duh wazazi walimu na wanafunzi
Ni kiza zaa mzoo...
Kipindi hiko nyimbo za kuhusu ukimwi zilikuwa ni,
kosa la marehemu-swahilini matola
Kiza zaa -OCD.
Badaye huyu jamaa akakaa kimya then akatoka na juma nature kwenye
Akwelinaa njoo
Tulimaze tatizo
Kutoka Kiwa sideMnyamaaaa PIG BLACK wa FREE DOGS CAMP