Hivi Suma G uko wapi?

Hivi Suma G uko wapi?

Ya kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihisha
hapana OCD ni mwingine na john mjema ni mwingine kabisaaa""..
 
aiseee huyo mamu shoga kweli unakosaje album za hawa wasanii wetu wa kitambo
hahaha ..kweli sio poa aisee..."" yeye anawaza kuingiza Pesa tu "" anashindwa kuhifadhi hata kwaajili ya kumbukumbu..""ndio maana waafrica tunaendelea kutawaliwa tu kila kukicha ..kutokana na ujinga wetu wakudharau history Yetu
 
Ya kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihisha
Sio huyo

Chorus ya kizaza ilikuwa hivi

Gonjwa hili limezua kiza zaa
Mzozo gumzo
Kwa masister duh wazazi walimu na wanafunzi
Ni kiza zaa mzoo...

Kipindi hiko nyimbo za kuhusu ukimwi zilikuwa ni,

kosa la marehemu-swahilini matola
Kiza zaa -OCD.

Badaye huyu jamaa akakaa kimya then akatoka na juma nature kwenye

Akwelinaa njoo
Tulimaze tatizo
 
Saigon amekuwa ustadh, katika huo ujinga alishajitoa kitambo na hata ukimuona siyo yeye tena.....Ni presenter wa Tv/Radio Imaan Morogoro.
Afadhali sana kama ana chanzo chake cha kipato cha uhakika
 
Sio huyo

Chorus ya kizaza ilikuwa hivi

Gonjwa hili limezua kiza zaa
Mzozo gumzo
Kwa masister duh wazazi walimu na wanafunzi
Ni kiza zaa mzoo...

Kipindi hiko nyimbo za kuhusu ukimwi zilikuwa ni,

kosa la marehemu-swahilini matola
Kiza zaa -OCD.

Badaye huyu jamaa akakaa kimya then akatoka na juma nature kwenye

Akwelinaa njoo
Tulimaze tatizo
Ni OCG mkuu sio OCD na yeye jina lake ni John inawezekana ndio maana amewachanganya
 
Back
Top Bottom