Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Hata ukitaka kuliwa ni wewe tu.Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?
Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
ok.🐒Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?
Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
Ni kama kusukuma.mlevi unajipigia tu?We wahakikishie uhakika "wao wanaita kuiona siku"(msosi hasa milo mitatu asubuhi hata kama akipata vipande kadhaa vya mihogo)+vijichenchi vya kulipia kisimu chake cha mkopo basi we ujue utazikinai mwenyewe na unaweza usirudi kwenu tena.Miongoni mwa mikoa ambayo mbususu ni rahisi sana kupata basi ni tanga we fikilia hata mi domozege nimezitafuna.
Ipo wapi mkuuWilaya mkinga kuna ukimwi wa kushika na mkono...
Wakati wengine wanawaza kulikwamua taifa kuna watu wanalikwamisha mkuu. Ndio hao sasaWatu tunawaza namna ya kulikwamua taifa,majitu mengine yanawaza useng.e tu.
Yote ni maendeleo kwani mashirika ya ukimwi yatatoaje fedha kama hakuna waathirika.Watu tunawaza namna ya kulikwamua taifa,majitu mengine yanawaza useng.e tu.
Relax..!Watu tunawaza namna ya kulikwamua taifa,majitu mengine yanawaza useng.e tu.
Sahihi mkuu. Hakuna chochote adimu kutoka kwa mwanamke. Sanasana utaambulia kupoteza energy na pesa. Maana wanazidiana kuwa ombaomba tu.Mkuu ndo mara yako ya kwanza kukutana na wanawake au?
Kama sio mara ya kwanza basi hakuna kitu adimu kutoka kwa mwanamke.
Mjomba ukimwi ulikuwa zamani. Ukiupata mjini baada ya muda unarudishwa kijijini kusubiria siku yako ya kuondoka duniani na uzito wa mwili usiozidi kilo 10.Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?
Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.