Hivi Tanga kuna Ukimwi sana au niwe huru kula bila kinga?

Hivi Tanga kuna Ukimwi sana au niwe huru kula bila kinga?

Watu hawaogopi kisukari ila mafua wanayaogopa ila sawa tu ukimwi kupata sio lazima mpaka utombwe au utombe nani alikwambia njia pekee ya kupata ukimwi kufanya ngono? Maana wewe masikini haufanyi mapenzi unafanya ngono wanaofanya mapenzi ni wenye pesa mtu yupo ghorofa la 300 huko juu kambananisha manzi kwenye kioo anamgonga huku anaiangalia dunia nzima hadi anaikojolea
 
Mjomba ukimwi ulikuwa zamani. Ukiupata mjini baada ya muda unarudishwa kijijini kusubiria siku yako ya kuondoka duniani na uzito wa mwili usiozidi kilo 10.
Siku hizi kuna HIV ambayo hutulizwa na ARV. Hivyo mjomba wewe paka futa jingi halafu teleza. Huwezi kupata ukimwi mjomba.

Maisha yenyewe ni mafupi. Kura raha mjomba.
Hahahaa. Yanga bingwa
 
Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?

Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
Si uwende ukapime nao swala la afya yako unakuja kuulza watu kwel?! kwa Hali hii Tanzania itafika namba moja kwa ukimwi dunian
 
Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?

Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
IMG-20260806-WA0018.jpg

Mzee una hangaika nini lete 2.5m choma jikinge

Ukimwi una kinga mzee...sema sisi ni maskini 😁

Piga KAZI ponjoro.. sisi wengine tumesha ichoma tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii uki itaji sema tukuelekeze

NB. MAENDELEO HAYANA CHAMA
 
Back
Top Bottom