Hivi Tanga kuna Ukimwi sana au niwe huru kula bila kinga?

Hivi Tanga kuna Ukimwi sana au niwe huru kula bila kinga?

Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?

Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
Karibu Tanga!
Ni vizuri kwamba unawaza kuhusu usalama wako mapema kabla ya kuchukua maamuzi.
Ukweli ni kwamba matumizi ya kondomu ndiyo njia pekee salama zaidi ya kukulinda na magonjwa ya ngono (STIs) kama vile UKIMWI (HIV), kaswende, kisonono, na chlamydia, pamoja na mimba zisizotarajiwa.
 
Mkuu kuna demu mzuri huyo naanzaje kuvaa condom
 
View attachment 3689759
Mzee una hangaika nini lete 2.5m choma jikinge

Ukimwi una kinga mzee...sema sisi ni maskini 😁

Piga KAZI ponjoro.. sisi wengine tumesha ichoma tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii uki itaji sema tukuelekeze

NB. MAENDELEO HAYANA CHAMA
Hivyo Mkuu hapo ushindwe wewe si eti?

Kama naona utakavyowapata wenye uhitaji.
 
Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?

Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
Wacha kutumia mpira mkuu hutafaudu utamu wa mbususu za Watanga! Kikubwa hata ukiunasa unakuwa umefia kwenye mafuta!
 
Sijamgonga bado leo jioni ndio nakula mkuu, jana nimegonga mwingine tu
c5f06bf9-852e-4136-9c3d-03edffc83bbf.jpeg
 
Uzuri wa Tanga Manzi walio wengi hawaulizagi kondomu ni wewe tu .

Na hawaringi mkubaliane tu,unachagua mwenyewe uibondeje
 
Back
Top Bottom