Hivi Tanzania nani akifa atapata heshima ya upendo kama ninayoiona kwa Raila Odinga

Ni viongozi na wanasiasa wachache sana Afrika hii wanaoweza kupewa heshina kama hiyo, viongozi wengi Africa hawapendwi na raia.
 
Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania?
Simuoni!
Kwa hawa wauaji waliopo yeyote akifa itakuwa sherehe kubwa sana kwa nchi kuondokewa na mashetani hawa.
 
Kuna mstaafu mmoja hivi Wa hapa Tanzania ajaribishe tu kufa aone watu watakavyo fanya party za wazi wazi na kushangilia .....

Kifupi Kwa Sasa hivi Kwa hapa Tanzania hakuna msiba utakaogusa mioyo yetu Kwa huzuni labda Kwa furaha
Dalali Hafi kizembe😁...".Nitakuja kwenye Mazishi yenu Sana "
 
Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania?
Simuoni!
mimi naona hawajampa heshima sanasana wamefanya fujo kwenye mazishi ya mtu muhimu haileti picha nzuri kabisa wakenya wanazidisha misifa isee.
 
Mwl Nyerere aliliwa sana tu
Magufuli nae saana,
Style ya kilio ni tofauti
 
Wasira Masatu ya Sangara
Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania?
Simuoni!
A
 
Huyu mwanamama Dr Gwajima huyu tunamuombea sana akiwa kiongozi wa namna hii Kwa miaka hata 15 tu atatufaa sana
 
Lissu na Maria Sarungi kwa pamoja wanastahili kabisa tuzo ya Nobel peace prize.
Mimi huwa nikimuwaza Lissu nashangaa sana. Kwa mtanzania mwenye elimu ya kuajiriwa nchi yeyote duniani. Anakubali kuja kuwapambania watanzania. Aisee huyu mwamba akifa sidhani kama Taifa litapata mtetezi. Maana wote wanaogopa kuongea.
 
Historia ya Lissu itaandikwa kwa wino wa Dhahabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…