Niamini mimi, ukitokea msiba saiv watu watashangilia tena majority...yanaweza yakazidi, au yasizidi.
..lakini lazima yatakuwa maombolezo makubwa.
..jambo la kujiuliza ni kama Magufuli au Samia wasingebebwa na Ccm na vyombo vya dola, au wangekuwa wanasiasa wa upinzani, wangekuwa na umaarufu kiasi gani?
Kwa sasa Tanzania hakuna, ndo kwanza wengine huwa wanashangilia. Kwa hali Tanzania ilipofikia hakuna kiongozi atakaye gusa hisia za watanzania akifa.Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania?
Simuoni!
Ivi unayajua makabila makubwa nchini kenya? nisije kuwa naongea na mtoto.Acha uongo Raila kaliliwa pande zote kuanzia luo, Luhya, Bukusu, Pwani yote, kwa wasomali, wakamba. Na huko ndio alikokuwa anashindia kura zake. Huwezi pata kura milioni 7 kwa wajaluo pekee wasiofika wapiga kura 2m
NdioIvi unayajua makabila makubwa nchini kenya? nisije kuwa naongea na mtoto.
LisuHalafu kuna watu wanadai kuwa Watanzania tunapendana..... We got to be serious.
Kama hujapendwa ukiwa hai, usitegemee kupendwa ukifaNaangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania?
Simuoni!