Kama unadhani huo ni upendo bc kazi unayo, angalia hao wengi n kabila gani na raila ni kabila gani ndo utaelewa.Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania?
Simuoni!
Hapa kwetu naamini wapo ambao wakivuta leo watu watafanye sherehe kuu.!Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania?
Simuoni!
Acha tu kaka mimi nilikuwa siamini watu wanaweza kuwa martyr. Mpaka Lissu alipojitolea kupambania katiba mpya aisee. Acha watu kama hawa ndio wanasaidia watu kuamini bado Mungu yupo aisee. Haijalishi upo dini gani.Historia ya Lissu itaandikwa kwa wino wa Dhahabu.
Lissu hawezi kumzidi magufuli
Professor MwamposaNaangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania?
Simuoni!
Unataka kuniambia watu walilazimishwa kuomboleza?..yeyote aliyeshika nafasi kubwa akifariki wananchi hulazimishwa kuomboleza, watake, wasitake.
..uwezo wa Lissu na umaarufu wake unapimwa kwa kuzingatia kwamba hajawahi kushika nafasi kubwa hapa nchini.
..hata Bungeni, Lissu ametumikia miaka 2010 mpaka 2015, baada ya hapo ubunge wake ulikatishwa mwaka 2017.
Unataka kuniambia watu walilazimishwa kuomboleza?
Kuvunja fence ya uwanja wa ndege?
Walitolewa majumbani mwao kumsubiri apite?
Usishangae watu wakazuiwa kuonyesha upendo kwa mpendwa WaoLabda Lisu kidogo.
Kuna Muuza Sura maarufubTanzania ameshajipakulia minyama ya kwenda kuuza suraInategemea na wakati; Kwa aliyofanya Raila kabla, Ukiondoa issue ya Usaliti wa Gen Z emefanya makubwa sana ingawa hata hivyo kama nilivyosema inategemea timing hata Lowassa tuliyeambiwa ni Fisadi na mlaji alivyozikwa tuliambiwa ni shujaa ingawa sasa hivi katika mafaili yanayovutwa tunaambiwa ni muasisi wa mtandao....
Moral of the Story Tenda Wema (what you thing is right) Uende zako Usingoje kurudishiwa... Kumbuka pia wanasiasa wengine huu ndio wakati wao wa kuuza Sura....
Anamzidi mbali sanaLissu hawezi kumzidi magufuli
Unataka kuniambia Rais wa sasa akipoteza uhai, maombolezo yatakuwa kama vile kwa JPM?..matangazo ya msiba mfululizo nchi nzima yanahamasisha wananchi kujitokeza, na hata kuhuzunika.
..halafu usisahau nafasi kubwa kama Rais ni mtu anayetangazwa kuliko yoyote yule nchini.
..Hakuna siku ambayo Rais hatatangazwa kwa namna moja, au nyingine. Sasa mtu wa namna hiyo akipoteza maisha kwa namna yoyote ile lazima kuwe na impact katika jamii.
..Wanasiasa waliobebwa na kuwezeshea na mifumo kandamizi huwa siwakubali sana. Wanasiasa wa Ccm wengi hawana vipaji bali hubebwa na mbeleko ya Ccm na vyombo vya dola.
Zaidi? Acha uongo hakufikisha hata robo ya hapo.Kanumba at his age 28
Ila akizikwa zaidi ya huyo Odinga
Acha uongo Raila kaliliwa pande zote kuanzia luo, Luhya, Bukusu, Pwani yote, kwa wasomali, wakamba. Na huko ndio alikokuwa anashindia kura zake. Huwezi pata kura milioni 7 kwa wajaluo pekee wasiofika wapiga kura 2mhivyo hao wanao omboleza ni watu kutoka kabila la Raila pekee.
1. Tundu Antipas Mugwai LissuNaangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania?
Simuoni!
Unataka kuniambia Rais wa sasa akipoteza uhai, maombolezo yatakuwa kama vile kwa JPM?
Hawa wasife nasema haya mengine yaliyopo madarakani1. Tundu Antipas Mugwai Lissu
2. Joseph Sinde Warioba
3. Cpt. Tesha
4. John Wegesa Heche