Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

Unataka wawatangaze wapinzani, afu wakifukuzwa kazi utawalishia familia zao?

Siku ya Lissu akiwa Mbeya, walitoa kwenye taarifa ya Habari, baada ya hapo, ile ya Mtwara hawakuripoti na hata ya Zanzibar.

Wanajipenda. Hawataki kupata kile kilichompata Tido Mhando enzi zile na kipindi chake cha Jimboni.
 
Sasa haya ni matumizi mabaya ya kodi. Kama vipi wananchi tukatae huu ubaguzi.
 
Magufuli anang'olewa octoba 28 , wasiwasi wao unatokana na nini na huku kila kitu kishajulikana ?
 
Kabla ya kuja na kusema inaendeshwa kwa kodi zetu je umeangalia invoices zote za TBC ukakuta hakuna inayowahusu CCM?
 
Kwani anayeidhinisha 'Mishahara' yao ya kile 'Mwezi' ni Wewe, Tundu Lissu na Bernard Membe Mkuu? Kwa 'Mwerevu' asingeliuliza hili 'Swali' lako.
 
Sasa najiuliza walivyonunua Chaneni Tena walikuwa na mpango gani kama TBC inaonyesha kampeni za mgombea wa Chama cha Mapinduzi?
 
Shut up.
Unajifanya hukumbuki mlivyo wafukuza TBC na kuwatishia wasithubutu kurusha matangazo yenu?
Shut up and apologize.
Wewe acha ujuha. Walifukuzwa kwa ukuda wao na hiyo sio sababu ya kutorusha mikutano ya wapinzani. Mishahara wanayolipwa inatokana pia na kodi za wapinzani. ...By the way Chauma, nccr tlp, cuf and the like nao pia waliwafukuza?
 
Mkuu umejuaje kama TBC 1 inamuonesha Magufuli tu? Ninyi si mliishaacha long time kuiangalia?
 
Kuna mamlaka flani juzi ilipiga marufuku kwa kwa kituo chochote cha TV ama redio station yeyote, kumuonyesha/kumuweka hewani mgombea yeyote kwa muda usio zidi dakika tano.
Na ikaonya kwamba, kinyume chake atakae kiuka atachukuliwa sheria kali kwa mujibu wa kanuni ya maudhui sijui yanini nini huko....... watajijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…