Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

TBC inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?

Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Chadema tayali walisha wafurusha TBC Sasa nini unataka
 
TBC inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?

Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Ndio hapo sasa. Chombo cha umma kinapogeuka kuwa chombo cha mtu binafsi ni shida juu ya shida.
 
Shut up.
Unajifanya hukumbuki mlivyo wafukuza TBC na kuwatishia wasithubutu kurusha matangazo yenu?
Shut up and apologize.
Mbona wao wenyewe TBC wameomba yaishe? Walienda kwa NEC kuomba wapatanishwe na Chadema baada ya kuona uadui umekuwa mkubwa hadi nje ya kazi pale TBC
 
wajinga wa kwanza ni wale waliokuleta duniani kwani walimleta mjinga.
Vipi kuhusu mama yako, anaetoa tigo🤔?
Kipindi kile wakati nasoma nae, alikuwa hashikiki kabisa sijui kama alisha acha,naomba unifahamishe.Niliwahi kumwambia, kuliko kuzaa nyumbu Kama wewe, ni bora angezaa hata kreti la bia watu wakanywa.
 
TBC inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?

Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Magufuli ni Rais ni muhimu aonyeshwe sasa unataka aonyeshwe mtu anaechechemea
 
TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?

Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Ndio tunaonja udikteta na ubaguzi na bado ngoja watu wafanye kosa October kumruhusu jiwe ndio watajuta haswa.
 
Tuzoee kumuona mara kwa mara Rais wa milele atakayefia madarakani
🤣 🤣 🤣 I bet huyu jamaa atabadilisha katiba akishirikiana na Ndugai ili asiwe na ukomo wa madaraka. This is coming, come 2023 ama 2024.
 
TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?

Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Mbona nilisoma humu kuwa TBC inachukiwa na Kila mtu na kwamba haitazamwi Sasa hofu ya Nini?
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] I bet huyu jamaa atabadilisha katiba akishirikiana na Ndugai ili asiwe na ukomo wa madaraka. This is coming, come 2023 ama 2024.
Kwa sisi tuliopo jikoni hilo tunajua litatokea tu
 
🤣 🤣 🤣 I bet huyu jamaa atabadilisha katiba akishirikiana na Ndugai ili asiwe na ukomo wa madaraka. This is coming, come 2023 ama 2024.
Kwa hiyo ina maana mnakubali atashinda uchaguzi huu...
 
Back
Top Bottom