Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambieni jamaa yenu, aache matusiiii atamulikwa tuuuu . hata vyombo vingine vitamtupilia mbali asipojirekebishaaa.TBC inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?
Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Nyie si mlisusa maana ndo tabia yenu.Sasa haya ni matumizi mabaya ya kodi. Kama vipi wananchi tukatae huu ubaguzi.
kama yeye ni rais anafanya kampeni za nini?Magufuli ni rais, lazima aoneshwe mara nyingi.
wanaccm siyo walipa kodi wazuri, walipa kodi ni wapinzani na watanzania wasio na vyama iweje TBCCCM iwe TV binafsi ya CCM? Kama vipi itangazwe kuwa TBCCCM imenunuliwa na CCM ndipo lianzishwe shirika jipya la TaifaMagufuli ni rais, lazima aoneshwe mara nyingi.
Lkn kwanini ikawa anatisha wapiga kuraMagufuli ni rais, lazima aoneshwe mara nyingi.
Ametangaza kununua Ndege kujenga bwawa la umeme reli flyover lakini kaona watanzania wanajua miradi yote mikubwa imejaa 10% ufisadi mwingi hawataki kuichagua CCM ndipo kaamua kuzunguka kutengeneza mazingira ya kuwalazimisha watanzania waipende CCM kwa nguvukama yeye ni rais anafanya kampeni za nini?
TBCCCM hupendelea CCM kwa 89% hizo asilimia kidogo ndizo huonyesha vyama vingineMkuu umejuaje kama TBC 1 inamuonesha Magufuli tu? Ninyi si mliishaacha long time kuiangalia?
Lakini kodi za wapinzani kuendesha na kuwalipa mishahara hao wafanyakazi wa TBC wanazitaka siyo??Unataka wawatangaze wapinzani, hafu wakifukuzwa kazi utawalishia familia zao?
Siku ya Lissu akiwa Mbeya, walitoa kwenye taarifa ya Habari, baada ya hapo, ile ya Mtwara hawakuripoti na hata ya Zanzibar.
Wanajipenda. Hawataki kupata kile kilichompata Tido Mhando enzi zile na kipindi chake cha Jimboni.
Kutumia zana zako ambazo hulipwa mishahara kwa kodi za watanzania wote ni ushetani ni matumizi haramu ya pesa za ummaNyie si mlisusa maana ndo tabia yenu.
Acha wenzenu wale.
Nyongeza: Utakuwa ni ubwege wa kiwango cha kati, kama uwe madarakani halafu ushindwe kutumia zana zako zote kupambana na mshindani wako ambae anajivunia mdomo tu!!
Si ndiyo nasema basi wapinzani wasiwe wanalipa kodi maana tumesikia wasipochagua chama fulani watateseka miaka mingine mitano na taa za barabarani watakuwa wanaiona kwenye movie.Kabla ya kuja na kusema inaendeshwa kwa kodi zetu je umeangalia invoices zote za TBC ukakuta hakuna inayowahusu CCM?
Matusi yapi? Hakuna matusi kwenye upinzani Yaani ukweli mnageuza uonekane ni matusi? kama ni matusi yapo CCMMwambieni jamaa yenu, aache matusiiii atamulikwa tuuuu . hata vyombo vingine vitamtupilia mbali asipojirekebishaaa.
si mliwafukuzaTBC inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?
Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Kwani mwanao akikufanyia vitendo haramu vya kishetani utaacha kumfukuza? TBCCCM walifukuzwa baada ya kuwa wanakatakata Matangazo kienyeji kishamba shamba, walihujumu mkutano wa chadema ulitegemea nini hapo? au ulitaka wafanye hujuma kisha wakumbatiwe?si mliwafukuza
sasa wakija tena una uhakika gani kama hawatahujumu?Kwani mwanao akikufanyia vitendo haramu vya kishetani utaacha kumfukuza? TBCCCM walifukuzwa baada ya kuwa wanakatakata Matangazo kienyeji kishamba shamba, walihujumu mkutano wa chadema ulitegemea nini hapo? au ulitaka wafanye hujuma kisha wakumbatiwe?
Kumbe KUWATUKANA WATUMISHI WA UMA NI TAKATAKA ZA JALALANI ,kwenu hii ilani ya chama chenuuu?Matusi yapi? Hakuna matusi kwenye upinzani Yaani ukweli mnageuza uonekane ni matusi? kama ni matusi yapo CCM
Issue kwangu ni mmejuaje hayo wakati mliishasema hamuiangalii? Au ni swali gumu Ndugu minyoo?TBCCCM hupendelea CCM kwa 89% hizo asilimia kidogo ndizo huonyesha vyama vingine
hao wengine hakuna kitu, wanatafuta kura za huruma hata ilani zao hazieleweki.TBC inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?
Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?