Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?

Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Hata wewe ukitaka uwe unaonyeshwa mara kwa mara kama yeye unaweza si unalipia tu matangazo😂
 
Sasa najiuliza walivyonunua Chaneni Tena walikuwa na mpango gani kama TBC inaonyesha kampeni za mgombea wa Chama cha Mapinduzi?
Channel ten haijanunuliwa,imeporwa. Kuna vitu ukiongea na hawa maburushi,watakwambia wanavyoporwa.
R. Aziz, Pirmohamed Mulla ni wahanga wa unyanganyi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya Taifa?

Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Hata baba yako wanaweza kumuonyesha tatizo hana mvuto
 
Kwani watumishi wa tbc wanalipwa mishahara Yao kwa Kodi za watanzania au helaza kutoka mfukoni mwa Magufuri na familia yake.
 
Back
Top Bottom