Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

Tatizo la sisi Waafrika hatujawahi kujiandaa na ya baadaye. Viongozi na washabiki wao wanaishi leo kama ambavyo tuna uhakika wa kula leo tu.

katiba hii hoi mbovu Kuna siku utakuja kuwaumiza sana ccm huko mbeleni.
 
Lakini kodi za wapinzani kuendesha na kuwalipa mishahara hao wafanyakazi wa TBC wanazitaka siyo??

Kama ulikuwa hujui, TBC inaendeshwa kwa Kodi zetu wanaCCM pekee. Na siyo TBC pekee, hata mararaja, mafulayova, ma stigila goji n.k, yote yanagaramiwa na Kodi za wanachama wa CCM, maana wapinzani katika nchi hii wanapinga kila kitu, kiasi kwamba hata Kodi hawalipi.
 
Hao washenzi achana nao
 
ukimchunguza sana bata huwezi kumla ndgu yangu..mengne tuyaangalie tu na kuyaacha inatosha sio kila kitu tuhoji.....hao tbc wanajua wanachofanya ni kujitoa ufahamu tu
 
Chadema mliwafukuza TBC, Sasa mnalalamika Nini tena??
 
makampuni na taasisi nying za gvt zimeshakufa sasa zinafufuliwa kwa nguvu sana kwani ttcl imekuaje nao??/leo hii tigo ndo kila kitu lakini ttcl ikowapi??

tbc walitakiwa wawe mbali sana ila siasa nazo zinaharibu sana tv ile...mipira zamani Enzi za TVZ mmmhh makombe ya africa tumengalia sana tu ila siku hiziz mmmhhh dhooffuu bin ali
 
Wenyewe watakwambia wanamtanguliza mungu!
Huwa najiuliza Huyu mungu kweli huwa anajisikiaje pale anapoona madudu haya?
Pia nawashangaa hawa viongozi wetu wa dini wanaoalikwa kwenye majukwaa huwa hawafuatilii hii unbalanced equation?
 
Chadema si mliwafukuza TBC?,pia kumbe mnaangalia na TBC[emoji23]
 
TBC ni mali ya Magufuli taka usitake.sahivi ni kuwapa majibu ya faulo,manake mmezidi kulalamika.
 
Kila king'amuzi kina TV channels zisizopungua 400! Za kitaifa hazipungui 10.

Wewe kwa kiherehere chako ume tune TBC ila hutaki kuona sura ya Magufuli, hebu kuwa kimaamuzi!

Tumia remote control yako vizuri maana naimani unaijua kazi yake.
 
Tuwape muda watajirekebisha baada ya makubaliano na nec.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…