chilamanyika
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 405
- 272
Chadema tayali walisha wafurusha TBC Sasa nini unatakaTBC inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?
Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Ndio hapo sasa. Chombo cha umma kinapogeuka kuwa chombo cha mtu binafsi ni shida juu ya shida.TBC inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?
Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Kwani chadema ni chama pekee cha upinzani? Kwa nini wasiwaonyeshe na wagombea wa vyama vingine?Chadema tayali walisha wafurusha TBC Sasa nini unataka
Mbona wao wenyewe TBC wameomba yaishe? Walienda kwa NEC kuomba wapatanishwe na Chadema baada ya kuona uadui umekuwa mkubwa hadi nje ya kazi pale TBCShut up.
Unajifanya hukumbuki mlivyo wafukuza TBC na kuwatishia wasithubutu kurusha matangazo yenu?
Shut up and apologize.
Vipi kuhusu mama yako, anaetoa tigo🤔?wajinga wa kwanza ni wale waliokuleta duniani kwani walimleta mjinga.
Tatizo wewe huelewi kinachoendelea nchini.Haiwezi kuingia akilini labda michezo ya futuhi
Magufuli ni Rais ni muhimu aonyeshwe sasa unataka aonyeshwe mtu anaechechemeaTBC inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?
Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Anawapa wapinzani tumbo joto tukama yeye ni rais anafanya kampeni za nini?
So what?Magufuli ni Rais, lazima aoneshwe mara nyingi.
Kichwa chako kiko vzr ndg?Magufuli ni Rais, lazima aoneshwe mara nyingi.
Tuzoee kumuona mara kwa mara Rais wa milele atakayefia madarakaniSo what?
HapanaKichwa chako kiko vzr ndg?
Ndio tunaonja udikteta na ubaguzi na bado ngoja watu wafanye kosa October kumruhusu jiwe ndio watajuta haswa.TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?
Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
🤣 🤣 🤣 I bet huyu jamaa atabadilisha katiba akishirikiana na Ndugai ili asiwe na ukomo wa madaraka. This is coming, come 2023 ama 2024.Tuzoee kumuona mara kwa mara Rais wa milele atakayefia madarakani
Mbona nilisoma humu kuwa TBC inachukiwa na Kila mtu na kwamba haitazamwi Sasa hofu ya Nini?TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya taifa?
Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
Kwa sisi tuliopo jikoni hilo tunajua litatokea tu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] I bet huyu jamaa atabadilisha katiba akishirikiana na Ndugai ili asiwe na ukomo wa madaraka. This is coming, come 2023 ama 2024.
Kwa hiyo ina maana mnakubali atashinda uchaguzi huu...🤣 🤣 🤣 I bet huyu jamaa atabadilisha katiba akishirikiana na Ndugai ili asiwe na ukomo wa madaraka. This is coming, come 2023 ama 2024.
Wale akina Nkamia, Kessy na Ndugai ni visemeo tu. 🤣 🤣 🤣Kwa sisi tuliopo jikoni hilo tunajua litatokea tu
Mbona Magufuli alishawaambia hatarajii kumuachia mtu mwingine kile kitiWale akina Nkamia, Kessy na Ndugai ni visemeo tu. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Ujinga ndo mtaji wa Chedema.Kwel ujinga na ushamba ni mzigo mzto