Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

Hata wewe ukitaka uwe unaonyeshwa mara kwa mara kama yeye unaweza si unalipia tu matangazošŸ˜‚
 
Sasa najiuliza walivyonunua Chaneni Tena walikuwa na mpango gani kama TBC inaonyesha kampeni za mgombea wa Chama cha Mapinduzi?
Channel ten haijanunuliwa,imeporwa. Kuna vitu ukiongea na hawa maburushi,watakwambia wanavyoporwa.
R. Aziz, Pirmohamed Mulla ni wahanga wa unyanganyi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata baba yako wanaweza kumuonyesha tatizo hana mvuto
 
Kwani watumishi wa tbc wanalipwa mishahara Yao kwa Kodi za watanzania au helaza kutoka mfukoni mwa Magufuri na familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…