Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ephen lazizi wangu Achana naye huyo.si unajuwa wengine wanapenda sana kunitaja taja huku ili tu waone utasemajeSubiri waje
Shukrani mkuuSoma magazeti mkuu acha maneno mengi. Magazeti hutupa habari za matukio na taarifa
View attachment 3021295
Uko sahihi mia Kwa miaSpecie ni ileile ila Generations ndiyo tofauti.
Watabubujikwa na machozi wakiona hili bandiko.Subiri waje
Hao ni chawa wa chura. Lakini ni wajinga kweliHivi Lucas mwanaCCM na Erythrocytes na mtu mwenye mwenye mitazamo kama ya Faiza Foxy watu wasiobadilika zaidi ya kutukuza watu ni Ipi ?
Na wana umuhimu gani kwenye Taifa ?
Sijapenda kabisa ulipo wekwa kundi moja na mzee wa kububujikwa na machozi.Ili Upate "LIKES" hapa JFni lazima unitukane mimi, hiyo inafahamika, maana kama hoja yako ni kutukuza watu, hiyo mimi simo, mimi naandika habari za Siasa zikiwemo za vyama vyote, japo mimi naunga mkono Chadema.
Nadhani umeingia jf juzi, hujui vizuri watu wa hapa JF, Lakini unachopaswa kujua ni hiki, nidhalilishe utakavyo ila "KILA UBAYA UTALIPWA"
Mmmmmmmmmm.muombe samahani mleta mada Yuko sahihiIli Upate "LIKES" hapa JFni lazima unitukane mimi, hiyo inafahamika, maana kama hoja yako ni kutukuza watu, hiyo mimi simo, mimi naandika habari za Siasa zikiwemo za vyama vyote, japo mimi naunga mkono Chadema.
Nadhani umeingia jf juzi, hujui vizuri watu wa hapa JF, Lakini unachopaswa kujua ni hiki, nidhalilishe utakavyo ila "KILA UBAYA UTALIPWA"
Huwezi kumpaka mwenzako matope halafu wewe ukaendelea kua msafi!Ili Upate "LIKES" hapa JFni lazima unitukane mimi, hiyo inafahamika, maana kama hoja yako ni kutukuza watu, hiyo mimi simo, mimi naandika habari za Siasa zikiwemo za vyama vyote, japo mimi naunga mkono Chadema.
Nadhani umeingia jf juzi, hujui vizuri watu wa hapa JF, Lakini unachopaswa kujua ni hiki, nidhalilishe utakavyo ila "KILA UBAYA UTALIPWA"
Kwamba Lucas ana nini hadi hasifae kua kundi moja na wengine mpaka wewe usipende?Sijapenda kabisa ulipo wekwa kundi moja na mzee wa kububujikwa na machozi.