min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Lucas ndio nani vile ? Mbona simkumbukiš¤Kwamba Lucas ana nini hadi hasifae kua kundi moja na wengine mpaka wewe usipende?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lucas ndio nani vile ? Mbona simkumbukiš¤Kwamba Lucas ana nini hadi hasifae kua kundi moja na wengine mpaka wewe usipende?
Utamjua Tu ni mtunga pambio za kusifu na kuabudu viongoziLucas ndio nani vile ? Mbona simkumbukiš¤
Kwani we una umuhimu gani kwa taifa???Hivi Lucas mwanaCCM na Erythrocytes na mtu mwenye mwenye mitazamo kama ya Faiza Foxy watu wasiobadilika zaidi ya kutukuza watu ni Ipi ?
Na wana umuhimu gani kwenye Taifa ?
Namjua huyo mkali , sema nimeamua tu kumzuga tu bibie ššUtamjua Tu ni mtunga pambio za kusifu na kuabudu viongozi
Utaziona pambio zake tu
Stay tuned ataibuka Tu hutahitaji utambulusho
Kwa kumbukumbu zangu mimi ndiye mtu anayetukanwa zaidi hapa jf, kwa sababu ya kuunga mkono Mabadiliko, lakini sijawahi kuogopa kutukanwa na Masikini, kwa vile najua shida yao iko wapi.Mmmmmmmmmm.muombe samahani mleta mada Yuko sahihi
Kuna chawa hawalipwi hata MiaKwa kumbukumbu zangu mimi ndiye mtu anayetukanwa zaidi hapa jf, kwa sababu ya kuunga mkono Mabadiliko, lakini sijawahi kuogopa kutukanwa na Masikini, kwa vile najua shida yao iko wapi.
Unaposema mtu kama mimi ni chawa ni lazima ujiridhishe kwamba nalipwa, Unless otherwise umeamua tu kumtumia mtu huyo kujipatia umaarufu, sisi wengine tunatumia hela nyingi mno kupigania haki kwenye nchi hii, sasa tunapokejeliwa huwa inashangaza sana! hata hivyo hatuwezi kukatishwa tamaa na mamluki
Tena Mwashambwa ndio kipimio kizuri Sana cha uchawa Jamii forumsKwamba Lucas ana nini hadi hasifae kua kundi moja na wengine mpaka wewe usipende?
Maana ya Chawa ni nini?Kuna chawa hawalipwi hata Mia
Uchawa sio lazima uwe unalipwa
Sio machawa wote ni malofa japo wengi asilimia kubwa huwa malofa
Faizafoxy mfano sio lofa lakini chawa mwimba kaswida za kusifu na kuabudu waliopita zamani na waliopo
Baadhi ya machawa wachache Sana sio malofa lakini asilimia kubwa ya machawa malofa wawinda fursa
Kwenye hilo kundi asiye lofa lakini chawa na asiyetafuta fursa ni Faizafoxy tu japo naye kuna maneno fursa sio lazima ziwe pesa kuna kulipwa Kwa Aina zingine yaweza kuwa sifa NK yeye hutaka malipo Kwa sifa za kusifiwa misikitini
Uchawa wake Faizafoxy ni WA kutafuta malipo ya sifa misikitini hatafuti fursa za teuzi wala pesa
Lakini yote malipo na hayaondoi definition ya MTU kuwa chawa whether analenga kulipwa fursa,pesa au sifa kwenye uchawa wake
Mleta mada hongera kwake kawa identify vizuri mno.kwenye maelfu ya wachangiaji
Yuko vizuri
Wewe pia ni chawa kama wengine maana upo kwenye praise and worship team ya ChademaKwa kumbukumbu zangu mimi ndiye mtu anayetukanwa zaidi hapa jf, kwa sababu ya kuunga mkono Mabadiliko, lakini sijawahi kuogopa kutukanwa na Masikini, kwa vile najua shida yao iko wapi.
Unaposema mtu kama mimi ni chawa ni lazima ujiridhishe kwamba nalipwa, Unless otherwise umeamua tu kumtumia mtu huyo kujipatia umaarufu, sisi wengine tunatumia hela nyingi mno kupigania haki kwenye nchi hii, sasa tunapokejeliwa huwa inashangaza sana! hata hivyo hatuwezi kukatishwa tamaa na mamluki
Nalipwa nini?Wewe pia ni chawa kama wengine maana upo kwenye praise and worship team ya Chadema
Hapo sasa.Kwani we una umuhimu gani kwa taifa???
Waambie ili wakome.Kwa kumbukumbu zangu mimi ndiye mtu anayetukanwa zaidi hapa jf, kwa sababu ya kuunga mkono Mabadiliko, lakini sijawahi kuogopa kutukanwa na Masikini, kwa vile najua shida yao iko wapi.
Unaposema mtu kama mimi ni chawa ni lazima ujiridhishe kwamba nalipwa, Unless otherwise umeamua tu kumtumia mtu huyo kujipatia umaarufu, sisi wengine tunatumia hela nyingi mno kupigania haki kwenye nchi hii, sasa tunapokejeliwa huwa inashangaza sana! hata hivyo hatuwezi kukatishwa tamaa na mamluki
Hakika.Erythrocyte sijam-ignore japo hua anaripoti kishabiki ila hao wengine nimewa-ignore mda sana
Chawa sio mpaka ulipe bali definition of chawa ni yule ambaye anasifia kupitiliza hata sehemu apastahiliNalipwa nini?
Mbona umekasirika sana? š¼Kwa kumbukumbu zangu mimi ndiye mtu anayetukanwa zaidi hapa jf, kwa sababu ya kuunga mkono Mabadiliko, lakini sijawahi kuogopa kutukanwa na Masikini, kwa vile najua shida yao iko wapi.
Unaposema mtu kama mimi ni chawa ni lazima ujiridhishe kwamba nalipwa, Unless otherwise umeamua tu kumtumia mtu huyo kujipatia umaarufu, sisi wengine tunatumia hela nyingi mno kupigania haki kwenye nchi hii, sasa tunapokejeliwa huwa inashangaza sana! hata hivyo hatuwezi kukatishwa tamaa na mamluki
š¤£š¤£š¤£ephen lazizi wangu Achana naye huyo.si unajuwa wengine wanapenda sana kunitaja taja huku ili tu waone utasemaje
Hao ukoo wao wote ni waganga na ndiyo waasisi wa uchunaji ngozi watu huko kanda ya nyasa,ni jina kubwa kwa mambo ya ndumba huko.Mwashambwa licha ya kuwa chawa lakini ana kazi yake ya uganga wa kienyeji na ndio inayomlisha ukiachana na ile 7500 anayoichukua lumumba kila mwishoni mwa mwezi
lucas ana umuhimu aisee lakini erythrocyte huyo ni chawa wa mbowe hana manufaa yoyoye yeye ni kuramba miguu ya mbowe tuHivi Lucas mwanaCCM na Erythrocytes na mtu mwenye mwenye mitazamo kama ya Faiza Foxy watu wasiobadilika zaidi ya kutukuza watu ni Ipi ?
Na wana umuhimu gani kwenye Taifa ?