EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Majirani zake kila siku wanabubujikwa na machozi na kusema afadhali ya jana kwa kukabwa na mwashambwa akisaidiana na walozi wenzake wasaidiziHao ukoo wao wote ni waganga na ndiyo waasisi wa uchunaji ngozi watu huko kanda ya nyasa,ni jina kubwa kwa mambo ya ndumba huko.