Hivi tofauti kati ya watu kama kina Lucas Mwashambwa na kina Erythrocytes/ faiza Foxy ipi ? Wana umuhimu gani katika Taifa ?

Hivi tofauti kati ya watu kama kina Lucas Mwashambwa na kina Erythrocytes/ faiza Foxy ipi ? Wana umuhimu gani katika Taifa ?

Kwa kumbukumbu zangu mimi ndiye mtu anayetukanwa zaidi hapa jf, kwa sababu ya kuunga mkono Mabadiliko, lakini sijawahi kuogopa kutukanwa na Masikini, kwa vile najua shida yao iko wapi.

Unaposema mtu kama mimi ni chawa ni lazima ujiridhishe kwamba nalipwa, Unless otherwise umeamua tu kumtumia mtu huyo kujipatia umaarufu, sisi wengine tunatumia hela nyingi mno kupigania haki kwenye nchi hii, sasa tunapokejeliwa huwa inashangaza sana! hata hivyo hatuwezi kukatishwa tamaa na mamluki

👏👏👏💐🛡️

⚖️Justice for Asimwe & fellow victims#
 
Kuna chawa hawalipwi hata Mia
Uchawa sio lazima uwe unalipwa

Sio machawa wote ni malofa japo wengi asilimia kubwa huwa malofa

Faizafoxy mfano sio lofa lakini chawa mwimba kaswida za kusifu na kuabudu waliopita zamani na waliopo

Baadhi ya machawa wachache Sana sio malofa lakini asilimia kubwa ya machawa malofa wawinda fursa

Kwenye hilo kundi asiye lofa lakini chawa na asiyetafuta fursa ni Faizafoxy tu japo naye kuna maneno fursa sio lazima ziwe pesa kuna kulipwa Kwa Aina zingine yaweza kuwa sifa NK yeye hutaka malipo Kwa sifa za kusifiwa misikitini

Uchawa wake Faizafoxy ni WA kutafuta malipo ya sifa misikitini hatafuti fursa za teuzi wala pesa

Lakini yote malipo na hayaondoi definition ya MTU kuwa chawa whether analenga kulipwa fursa,pesa au sifa kwenye uchawa wake

Mleta mada hongera kwake kawa identify vizuri mno.kwenye maelfu ya wachangiaji

Yuko vizuri

⚖️Justice for Asimwe & fellow victims#
 
Tena Mwashambwa ndio kipimio kizuri Sana cha uchawa Jamii forums

Chawa yeyote lazima alinganishwe na Mwashambwa kama Yardstick

Kuwa huyu ni chawa kama Mwashambwa bila kujali chama chake cha siasa,kabila au dini nk
🎯👏👌👍🎯

⚖️Justice for Asimwe & fellow victims#
 
Majirani zake kila siku wanabubujikwa na machozi na kusema afadhali ya jana kwa kukabwa na mwashambwa akisaidiana na walozi wenzake wasaidizi
🤣🤣🤣

⚖️Justice for Asimwe & fellow victims#
 
Back
Top Bottom