Hivi tofauti kati ya watu kama kina Lucas Mwashambwa na kina Erythrocytes/ faiza Foxy ipi ? Wana umuhimu gani katika Taifa ?

Lucas ni chawa wa maccm zile post zake zinaandaliwa na kitengo lumumba anapewa apost ni mjinga tu

Faiza ni mdini akili zake ni kutetea dini yake hata mtawala na utawala wake ukiwa mbovu atattetea ili mradi ni dini yake

Elythocyte ni mtu safi anatetea demokrasia utawala wa Sheria na katiba mpya tumuunge mkono
 
Ili Upate "LIKES" hapa JFni lazima unitukane mimi, hiyo inafahamika, maana kama hoja yako ni kutukuza watu, hiyo mimi simo, mimi naandika habari za Siasa zikiwemo za vyama vyote, japo mimi naunga mkono Chadema.

Nadhani umeingia jf juzi, hujui vizuri watu wa hapa JF, Lakini unachopaswa kujua ni hiki, nidhalilishe utakavyo ila "KILA UBAYA UTALIPWA"
 
Sijapenda kabisa ulipo wekwa kundi moja na mzee wa kububujikwa na machozi.
 
Mmmmmmmmmm.muombe samahani mleta mada Yuko sahihi
 
Huwezi kumpaka mwenzako matope halafu wewe ukaendelea kua msafi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…