Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango?
Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi?
Taifa bado maskini kabisa ambalo huduma za kijamii na kiuchumi bado zipo duni kabisa linakwenda kukopa Tril 1.3 na kujenga vyoo vya shule na madarasa huku likitumia Cash kununua ndege za matrilion ya shilingi!
Taifa letu limemkosea nini Mungu?
Kama ni ishu ya kufanya biashara ya ndege itakayolipa kwanini tusikope hizo ndege halafu tukatumia cash tuliyonayo kujenga vyoo na madarasa?